Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Kwa heshima na Tahadhima,
Natanguliza salamu zangu za kwa pole sana KWENU wote wenye kadhia Hii[emoji4]

Mungu awavushe salama katika kipindi hiki kigumu mnachopitia, ukizingatia na mvua siku iyo Lazima inyeshe[emoji4][emoji120]
 
Valentine bila Yutong nitatoboa kweli? We will see [emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2104394
Tutaishi nao tu
87E20C4B-F892-48B7-8C89-F69F337FC53D.jpeg
 
Mambo zenu wakuu?
Tutakaoibuka valentine single and we never regret it.Big up to us.Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo.Yes am single mom again. (Kiukweli kinachoniponza ni hasira nikigundua kitu bas nareact and no retreat no surrender.)pole mimi.
Natafuta sex partner unaonaje tukawa pamoja hata mie mpweke Kama ww
 
Mambo zenu wakuu?
Tutakaoibuka valentine single and we never regret it.Big up to us.Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo.Yes am single mom again. (Kiukweli kinachoniponza ni hasira nikigundua kitu bas nareact and no retreat no surrender.)pole mimi.
Kwamba yule aliyetaka kujiua kwasababu yako MSHAACHANA?

#YNWA
 
Kwa heshima na Tahadhima,
Natanguliza salamu zangu za kwa pole sana KWENU wote wenye kadhia Hii[emoji4]

Mungu awavushe salama katika kipindi hiki kigumu mnachopitia, ukizingatia na mvua siku iyo Lazima inyeshe[emoji4][emoji120]
Asante mkuu
 
Mkuu,
Kama umegundua tatizo kwa nini hurekebishi?!!!
Mama aliniacha kwa bibi nikiwa na miaka 3 akaja nichukua nina 11....nimeishi kwa mateso sana pale home hasa kipigo.Nimekuwa nikapata kaz kupata bwana kanipa mimba kagoma kunioa kasema kaniachia ujumbe TOA MIMBA.Nimepata mume unaletewa zigizag....moyo wenyewe huu uliojaa hasira na visasi.Hapana nisijepata kesi bure.Ngoja niishi na wanangu inatosha
 
Back
Top Bottom