Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Duh maza kwahio alikuzaa kimchongo tu kisha akakuacha home kwa bibi? Sema nawaona wapuuzi tu sababu wewe hukuomba uzaliwe it happened. Wamekuharibu kichwa kwa ujinga wao pia.
Alisema alienda kutafuta maisha hata ivo 11 alinichukua ndo aliyenisomesha pia.She is my everything
 
Mimi sio nabii ila wewe nina uhakika utakuwa very defensive kwenye mahusiano...Hii inatokana na ile hali ya kuonewa mda mrefu na denial ya kutotaka kurudi kwenye uonevu so hata mambo madogo ya kuchukulia easy lazma utakuwa unabwatuka na pia unakuwa mtu usiyetaka kushindwa yani kila argument lazima izae ligi.

Ni ngumu ku survive bila kufanyiwa counselling. Watu wana give up mapema sababu hio. Wewe ni ngumu kuwa submissive ila sio kosa ni psychological errors tu. Lazma ifikie mahala ukubali kubadilika.

Ila pia kuna ile roho ya kukataliwa inakuandama toka mdogo lazma upambane na hilo spiritually.
Ni kweli mkuu
 
wengine valentine wetu ndohawa tusharidhika
IMG-20220130-WA0015.jpg
 
Mambo zenu wakuu?

Tutakaoibuka valentine single and we never regret it. Big up to us. Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo. Yes am single mom again. (Kiukweli kinachoniponza ni hasira nikigundua kitu bas nareact and no retreat no surrender.)pole mimi.

Kusherekea valentine day inaonesha jinsi gani penzi lenu lilivokua halija mature yaani bichi kabisaa
 
Mama aliniacha kwa bibi nikiwa na miaka 3 akaja nichukua nina 11....nimeishi kwa mateso sana pale home hasa kipigo.Nimekuwa nikapata kaz kupata bwana kanipa mimba kagoma kunioa kasema kaniachia ujumbe TOA MIMBA.Nimepata mume unaletewa zigizag....moyo wenyewe huu uliojaa hasira na visasi.Hapana nisijepata kesi bure.Ngoja niishi na wanangu inatosha
Dah! Unabackground yakusikitisha Sana.

Kwaiyo Mom wako alkua single mother, afu nawe umekua tena single mother[emoji22]

Dah![emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom