Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Alooh kumbe single tupo wengi hiyo tarehe 14 nikujitoa out na kujinunulia zawad mwenyewe tuu hakuna namna
Will you be my valentine?
images.jpg
 
Tunaomba wote tukutane uwanja wa taifa

Kwa furaha kuu ya kuushinda unafiki wa mahusiano tutaongozwa na wimbo pendwa wa lavalava
 
Yaan lidada lizuri hivi lichoyo,hii nchi kikweli tunahitaji katiba mpya
 
Basi Mganga wako mkali Sana,

Wagawie mmoja basi na wenzio wafaidi mema ya dunia[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂
You got me wrong mkuu,nachanganyikiwa nikiingia whatsapp,twitter,instagram na hata huku jf naona mambo ya valentine na mimi nipo singo naenjoi kidogo alafu naumwa sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom