Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Tunaomba wote tukutane uwanja wa taifa

Kwa furaha kuu ya kuushinda unafiki wa mahusiano tutaongozwa na wimbo pendwa wa lavalava
 
Fanya hivyo bas Sis maana kwanza itakuwa Birthay yangu hivyo tuta jizawadia zawadi za kutosha na party juu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wow umezaliwa siku nzurii ya dunia kuoneshana mahaba, itabidi tujumuike kukupongeza siku hiyo😍
 
Yaan lidada lizuri hivi lichoyo,hii nchi kikweli tunahitaji katiba mpya
 
Basi Mganga wako mkali Sana,

Wagawie mmoja basi na wenzio wafaidi mema ya dunia[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You got me wrong mkuu,nachanganyikiwa nikiingia whatsapp,twitter,instagram na hata huku jf naona mambo ya valentine na mimi nipo singo naenjoi kidogo alafu naumwa sana🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…