Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila action yoyote yaani wamekuwa wajinga tu yaani wao ni kulalamika tu! Huu ujinga wa kulalamika utawaishia lini nyie mahayawani wa kiTanzania?
Namlaumu na kuchukizwa na yule mnasema ameleta ukombozi wa nchi hii na ni declare interest sikuwahi na sitokuja kuvutiwa na Rais wa kwanza wa Tanzania kwanza hakuwahi na nia ya dhati hata kidogo kama angekuwa na nia dhati kulikuwa na haja gani kutumia katiba iliyoachwa na wakoloni?sio kama na yeye alikuwa ana lengo la kujifanya mungu mtu nini?
Katiba mpya ni muhimu na haiepukiki nipo pamoja na LiSsu na hii kazi ya kudai katiba mpya sio ya wanasiasa tu kama yule mzee DJ wa maisha club ambaye baada ya kulambishwa asali amekuwa kama .......
Nyerere anapaswa kulaumiwa kwa ubinafsi na uungu wake mtu!
# mods kama mada za kumsema kwa ubaya magufuli mnavyoziachia na hii pia muiachie acheni double standard#