Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Alizisambaza ila pia angle ya camera nayo ilikuwa imekaa mahali pazuri zaidi kuonyesha kura za Bon wakati za Lema zilikuwa hazionekani.Hivi Lema kafanyajefanyaje ?? Maana ni kama karatasi zake zilikua hazionekan kama kibunda
Kuna wakati Bon akawa anaokota Kwa ratio ya 8:2Alizisambaza ila pia angle ya camera nayo ilikuwa imekaa mahali pazuri zaidi kuonyesha kura za Bon wakati za Lema zilikuwa hazionekani.
hakika anastahili pongezi mwamba alisimama upande wa haki hadi mwisho,bila kumjali kaka yake FAM atamwonajeBinafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana .
View attachment 3209813
Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
Uko sahihihakika anastahili pongezi mwamba alisimama upande wa haki hadi mwisho,bila kumjali kaka yake FAM atamwonaje