Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipewa ruhusa na Magufuli, au umesahau Dr Mwele wa NÍMR alipotangaza kuna case ya virus vya ZIKA nini kilimpata?Namkumbuka Ummy kwa kukiri kuwa Covid imeingia nchini na kutoa takwimu mara kwa mara za watu waliothirika. Kwenye hili nampongeza.
Amandla...
Hata yeye alitemwa haraka sana na JPM na ndio ukawa mwisho wa matangazo ya takwimu. Tuliambiwa hakuna Covid nchini na tukaamini.Alipewa ruhusa na Magufuli, au umesahau Dr Mwele wa NÍMR alipotangaza kuna case ya virus vya ZIKA nini kilimpata?