B bagi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,747 Reaction score 1,766 Aug 15, 2024 #121 Kuondoa Toto Afya Kadi. Alafu Mama alimsifia Sana Ummy ila it's matter of time ataludishiwa
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Aug 15, 2024 #122 Kiuno kikubwa ,sura zuri na shingo yenye mistari ..
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Aug 16, 2024 #123 Fundi Mchundo said: Namkumbuka Ummy kwa kukiri kuwa Covid imeingia nchini na kutoa takwimu mara kwa mara za watu waliothirika. Kwenye hili nampongeza. Amandla... Click to expand... Alipewa ruhusa na Magufuli, au umesahau Dr Mwele wa NÍMR alipotangaza kuna case ya virus vya ZIKA nini kilimpata?
Fundi Mchundo said: Namkumbuka Ummy kwa kukiri kuwa Covid imeingia nchini na kutoa takwimu mara kwa mara za watu waliothirika. Kwenye hili nampongeza. Amandla... Click to expand... Alipewa ruhusa na Magufuli, au umesahau Dr Mwele wa NÍMR alipotangaza kuna case ya virus vya ZIKA nini kilimpata?
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Aug 16, 2024 #124 Dr Matola PhD said: Alipewa ruhusa na Magufuli, au umesahau Dr Mwele wa NÍMR alipotangaza kuna case ya virus vya ZIKA nini kilimpata? Click to expand... Hata yeye alitemwa haraka sana na JPM na ndio ukawa mwisho wa matangazo ya takwimu. Tuliambiwa hakuna Covid nchini na tukaamini. Amandla...
Dr Matola PhD said: Alipewa ruhusa na Magufuli, au umesahau Dr Mwele wa NÍMR alipotangaza kuna case ya virus vya ZIKA nini kilimpata? Click to expand... Hata yeye alitemwa haraka sana na JPM na ndio ukawa mwisho wa matangazo ya takwimu. Tuliambiwa hakuna Covid nchini na tukaamini. Amandla...