Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Kwahiyo DC kaachwa ama?
Technically kamwagwa.

Ila mademu bhana tabu tupu.

Nikki anaweza kuwa mtu mwenye fursa kubwa sana huko mbele zaidi ya huo U-DC akiacha uselamavi na ushamba wa kiarusha.

Kama shida hela zitakuja tu.

Wakishaonjeshwa good life flani wanajanjaruka akili.

Anyway kama kweli Nikki kaachwa atulize akili sasa akome kwenye mambo ya msingi mapenzi hayanaga mjanja.

Muda ni mwalimu mzuri
 
Motivation Speakers Ni kawaida Yao, wanajifanyaga wako smart Sana kuliko watu wote kumbe empty set kabisa.
 
Technically kamwagwa.

Ila mademu bhana tabu tupu.

Nikki anaweza kuwa mtu mwenye fursa kubwa sana huko mbele zaidi ya huo U-DC akiacha uselamavi na ushamba wa kiarusha.

Kama shida hela zitakuja tu.

Wakishaonjeshwa good life flani wanajanjaruka akili.

Anyway kama kweli Nikki kaachwa atulize akili sasa akome kwenye mambo ya msingi mapenzi hayanaga mjanja.

Muda ni mwalimu mzuri
DC haweziiii kujinasuaa palee kwa mtoto. Demu akishachokaaa ku slay ataenda watulie sasa na life lao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mapenzi hayana formula. Demu anatembea na beat la pesa lilipo.
Uwiiiiioh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom