Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wa kuitwa kalamaganda sijuiMzee huyo ni yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kuitwa kalamaganda sijuiMzee huyo ni yupi?
furaha aitoe wap wakat ameoa mpalestina. subiri wapate asset za kutosha akalishwe steel wire augue kansa mjane ale mema ya ujane.
Kwamba mama zuri kishabanduliwa na muzee ya "mwakaaaa alf tisa mia na kendaaaaa"
Muzee wa miaka alf nane mia na kendaaaa
Kabla ya kuota ndotoHe is in love. Just let him.enjoys his life. He is doing the right thing. U dont expect a guy who is in luv to do less than what Nikki2 is doing to his gyal
Hivi hii ishu ilikuaje make naisoma juu juu, natamani warumi anisimulie kinagaubaga, ilikuaje hadi akasafiri nae nje ya nchi? Baba zuri hakuona kama kuna kamchezo hakako sawa?!!!Hahahaha mzee anakwambia hii papuchi itaendelea kuwa tamu miaka elfu 3 mia kendaaaa na kendaaaaaaaaa!
Na akili juuMama zuri ni mzuri buana wacha hizo
Kubandua hakunaga tetesi mkuu.. 😀😀😀😀Aisee. Confirmed au bado tetesi?
Itakuwa kimekula kimasihara tu 😀lile zee lilikuwa linampiga sound za kinge cha ndani sana
Hivi hii ishu ilikuaje make naisoma juu juu, natamani warumi anisimulie kinagaubaga, ilikuaje hadi akafiri nae nje ya nchi? Baba zuri hakuona kama kuna kamchezo hakako sawa?!!!
Nasikia mzee yuko njema bao kendaaaa yani
Bwana weeeeh maisha yenyewe mafupi haya, pata kitu roho inapenda yani uache kuoa mtu mzuri kisa unaogopa watu watamwangalia????kuna makosa mengi wanaume (hata wanawake) tunafanya katika kuchagua wenza, lakin kosa la kuangalia uzuri zaid nadhan ndo kosa kubwa zaidi. wanaume tunajijua ubinafs na wivu wetu kwa mke kuliko hata wivu mkuu wa Mungu kwa mwanadam dhidi ya miungu wengine, bado unaoa mke kila mtu anageukia. unaoza moyo taratibu. unakosa aman ya ndan kisa misifa ya kijamii. labda ufanikiwe kumshusha bei nafsin mana asilimia kubwa ya uzuri iko kichwan mwako, si kwa mhusika! nadhan kuoa rafik yako ndo jambo muhim zaid. na huwez kuwa na urafik na mpuuzi, pumbavu au jinga. wanawake wazuri kupita ukawaida hawajawai kujua kwanini wanaume smart hawawahitaji kwa matumizi ya kindoa licha kwa matumizi mengine wanafaa mno! siri ni kuwa wanaume wengi hawajiamin na hawapendi ligi ya umilikaji. warembo msihangaike kusali sana kwa hili. si kosa lenu. haliwahusu.
Demi anaogopa hayo macho
mdau unaongelea mke au mwanamke? mke nijuavyo sifa kuu ni awe rafiki yako. labda kama unapenda mke wa kutumia na si kuishi nae. lakin kuhusu uzur nilimaanisha wewe mhusika kuuona uzuri huo ni zaid ya kawaida. na "kawaida" si kawaida kuwa kawaida sawa kwa wanaume wote.Bwana weeeeh maisha yenyewe mafupi haya, pata kitu roho inapenda yani uache kuoa mtu mzuri kisa unaogopa watu watamwangalia????
Ndio nyie mnajibana bana unaoa mwanamke hana viwango unavyotaka unaishia kumuweka tu ndani kama kochi unaanza kuhangaika nje kusumbua wake za wenzio.
Jipe kitu kizuri, kama wapenda cheupe tafuta cheupe kweli, kama wapenda wowowo chagua mwenye wowowo.
Haaaaa... anshindwa kuogopa moto wa mzee.. anaogopa macho tu hayo.. hata bundi anayo 🚶Demi anaogopa hayo macho
Siwezi kuogopa kuwa na pisi kali kisa kugongewa.. sijamkuta Bikra na hajanikuta Bikra. Kikubwa heshimaBwana weeeeh maisha yenyewe mafupi haya, pata kitu roho inapenda yani uache kuoa mtu mzuri kisa unaogopa watu watamwangalia????
Ndio nyie mnajibana bana unaoa mwanamke hana viwango unavyotaka unaishia kumuweka tu ndani kama kochi unaanza kuhangaika nje kusumbua wake za wenzio.
Jipe kitu kizuri, kama wapenda cheupe tafuta cheupe kweli, kama wapenda wowowo chagua mwenye wowowo.