Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Ni wivu tuu huo mkuu, kila mtu ana haki ya kupenda alipopenda kwa hisia zozote atazotumia, mbona hujiulizi nyimbo za duniani 80% ni za mapenzi kuliko za aina nyingine, hayo mapenzi tu mkuu sio ufala,
Mbona huyo manzi ni wa kawaida. Mapenzi ni aina fulani ya uchizi mwacheni afanye anavyotaka ila masela tunamcheki tu.
Huyo demu wa kawaida sana....hatii maguu juu ya kifaa changu mtoto wa Regan.
Acheni kabisa.
 
Huyo ni mke wa Nick wa II? Huyu jamaa atagongewa sawa mke naskia ana mtoto wa kike hii ina prove totally kitandani jamaa ni zero, lazma angongwe na awe tu mpole asije na Takwimu zisizo tambulika Tanzania
 
Mwanamke mvuto unaisha Hilo la kwanza la pili Mwanamke akiwa na mvuto halafu anadharau hisia za ngono zinaisha kabisaaa yaani,a matter of time tu.

Napenda sana mwanamke mwenye akili ya mambo zinanihamasisha hata kumtamani kimapenzi.Tufanye hivi mambo yanaenda,unamuelekeza kitu anafanya kwa ustadi, hapo nyumbani mambo yanakaa sawa hata ukisafiri mwezi mzima unakuta pesa imetumiwa vizuri,watoto wamenawiri.Sio umeacha laki 5 kwa mkeo awape mafundi wakija,mafundi wamechelewa kidogo tu kesha punguza kaenda kufanya mambo yake hapo umesisitiza balaa.Sasa unajiuliza huyu hajui umuhimu wa hii pesa???mbona nishaongea nae,ukiuliza umenuniwa,Khaaaa.
Kua na mke mpk kuna mda ukimuwaza unasikia raha tu kuna watu wanafaidi jamani uzuri sawa ni muhimu kwa kiasi chake lakini Mwanamke mwerevu Ni baraka kwenye familia.
Mkeo alikupiga mzinga nini [emoji3][emoji3][emoji3]
 
ushauri kwa Nikki jitahidi uishi na mkeo in a private life....usipende kumuanika kwenye public limelight....mabazazi kama akina sie tukimtaka hatumkosi....that is a fact....na tukipita nae anakukimbia saa nne asubuhi....
Utoto huo
Akikua ataacha,
Kipara siyo ukubwa,
 
Hapana.
Sina maana hiyo.Wivu unakuja pale unapoyataja maovu ya kale ya bidada.

Kwa kuwa kafanya mabaya sana hastahili kupendwa na kupostiwa?
Niwie radhi katika hili, ila sidhani kama ni ya KALE kama unavyofikiri.

Kama una ukaribu nae Muulize Dereva wake wa Bajaj iliyo andikwa Makole huwa ana mpeleka kwa nani pale Survey, maana rqfiki zake walihama mitaa ile.
 
huyu Khantwe jamani naona kama kashakuwa kijamvi cha masela. Ngoja niwaachie walimwengu maana kila mtu akiulizwa demu wake nani anamtaja yeye. Tusije kuisha kama wana wa kutwanga na kupepeta.
Bebi siamini hayo maneno unayatoa wewe
 
Unatoa pasi za upendo kwa kila raia hadi sio poa, raha ya mke awe exclusive. Hebu malizana na hao jamaa zako kwanza
[emoji3] eti natoa pasi za upendo....umenifanya nicheke wakati nilikuwa nalia. Sawa babe nitamalizana nao ila usiniache, wajua siwezi kukaa mbali na wewe hata kwa dakika 5
 
[emoji3] eti natoa pasi za upendo....umenifanya nicheke wakati nilikuwa nalia. Sawa babe nitamalizana nao ila usiniache, wajua siwezi kukaa mbali na wewe hata kwa dakika 5
😂 usilie banaa...naelewa but fanyia kaz hilo nilokwambia mpenzi.
 
Watu kama Khantwe wanaenza kukufanya ukajitoa uhai kumbe hamna hata kinachoendelea katika hao wanaoitwa wapenzi, relax [emoji23]
Hii ndio tabu yakuwa na mpenzi mzuri sasa. Kila mtu anatesti mitambo tu shida huja kuwa sio kila anaemuita mpenzi atamuacha salama
 
Back
Top Bottom