Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Ni wivu tuu huo mkuu, kila mtu ana haki ya kupenda alipopenda kwa hisia zozote atazotumia, mbona hujiulizi nyimbo za duniani 80% ni za mapenzi kuliko za aina nyingine, hayo mapenzi tu mkuu sio ufala,
Acha umama dogo,hatushangai kupenda tunashangaa kuweka maisha ya kupenda public
 
Kana kwamba ni kosa au nini, maana kaandika kwenye page yake wala sio kwenye page ya news na hajamtagi mtu mwingine asiyehusika na hiyo post, so NYIE mliomfollow kama kondoo wake mnatakiwa mfurahie kila anachopost, km hampendi mwambieni asikie au asome ili iwe na effect sasa kumdiskasi humu hakujengi kitu
 
akiposti yeye ni shoga kwa sababu tumemfollow na ni kondoo wake ,tunatakiwa pia tufurahie? Unautoto mwingi
 
Mimi wala siwez kushangilia wala kushangaa anachopost maana km nikiwa nimemfollow inamaana nahitaji kumsikiliza na kuona anachofanya kupitia mtandaoni, so unakuwa mfuasi wake kwa namna moja au nyingine, bisha au ukatae ukimfollow mtu unamaanisha kuwa unahitaji uone na usikie anachokifanya maishani mwake lasivyo ungekuwa hujali kitu usingemfollow in the first place, so kuumia kwako au kushangilia kwako doesnt mean a thing kwasababu ataendelea kupost ili usome au uchukie na roho yako ili siku iende
 
Mfano we ni follower wa babako ,je unakubali kila tabia zake ?narudia unakosea
 
Huyu Mke wa Nikki alipokuwa UDSM [UDBS] katoa sana papa, kapigwa sana na wadau pale Survey walipokuwa wanapigia Disc.

Nikki kamuokota mitaa ya Changanyikeni alipokuwa ana kaa na rafiki zake. Kwa ufupi siyo Mwanamke wa kulingishia maana hata alipokuwa na Mimba kuna mgogoro ulizuka sema imezimwa.

Dereva wa Bajaj iliyo andikiwa Makole anajua sana mambo ya huyo dada....
 
Anajilengesha tu kwenye bomba la mk 47..dada zetu hawa ukishawaonesha ur in luv to that extent unaeza jitafutia shida..afu kuna kaka zetu ukishaanza kupiga promo hiv watataka kujua kuna nini ndaniiiiii hapo ndo shughuli inapoanza...
He is in love. Just let him.enjoys his life. He is doing the right thing. U dont expect a guy who is in luv to do less than what Nikki2 is doing to his gyal
 
Back
Top Bottom