kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Alimvalisha pete muda sana,hajamuoa tu mpk leo?ni mwanamke mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimvalisha pete muda sana,hajamuoa tu mpk leo?ni mwanamke mzuri
Maajabu gani mnataka, huyo ni binadamu tu km wewe lakini kashafanya maajabu yanayofanywa na kila mwanamke duniani...kazaa mtoto...ndo maajabu yake hayo, maajabu mengine wamebarikiwa mitume na manabii, wakuu mna wivu hata kwenye maisha ya ndani ya wengineHana maajabu afu bado anamsifia mtandaoni
Maajabu gani mnataka, huyo ni binadamu tu km wewe lakini kashafanya maajabu yanayofanywa na kila mwanamke duniani...kazaa mtoto...ndo maajabu yake hayo, maajabu mengine wamebarikiwa mitume na manabii, wakuu mna wivu hata kwenye maisha ya ndani ya wengine
Kwan kuna mwanamke uliyewah kumwona ww ana maajabu, au madem ulionao ww wana maajabu yoyote?We nae mshamba tuu kama huyo jamaa, hata kichaa anazaa na hamna maajabu yoyote hapo
Penzi kitovu cha uzembeHuyu mdada mbona hana maajabu yoyote yale
Kwan kuna mwanamke uliyewah kumwona ww ana maajabu, au madem ulionao ww wana maajabu yoyote?
Kuzaa nayo unaona ni maajabu, mm nafuga mbwa, mbuzi na wanazaa wala sioni ajabu lolote, labda ajabu kidogo lipo kwa kuku kutaga yai likipata joto siku 21 linageuka kifaranga. Huyu Jamaa mashamba kiwango cha lamiMaajabu gani mnataka, huyo ni binadamu tu km wewe lakini kashafanya maajabu yanayofanywa na kila mwanamke duniani...kazaa mtoto...ndo maajabu yake hayo, maajabu mengine wamebarikiwa mitume na manabii, wakuu mna wivu hata kwenye maisha ya ndani ya wengine
the vice versa is true