Mwanamke mvuto unaisha Hilo la kwanza la pili Mwanamke akiwa na mvuto halafu anadharau hisia za ngono zinaisha kabisaaa yaani,a matter of time tu.
Napenda sana mwanamke mwenye akili ya mambo zinanihamasisha hata kumtamani kimapenzi.Tufanye hivi mambo yanaenda,unamuelekeza kitu anafanya kwa ustadi, hapo nyumbani mambo yanakaa sawa hata ukisafiri mwezi mzima unakuta pesa imetumiwa vizuri,watoto wamenawiri.Sio umeacha laki 5 kwa mkeo awape mafundi wakija,mafundi wamechelewa kidogo tu kesha punguza kaenda kufanya mambo yake hapo umesisitiza balaa.Sasa unajiuliza huyu hajui umuhimu wa hii pesa???mbona nishaongea nae,ukiuliza umenuniwa,Khaaaa.
Kua na mke mpk kuna mda ukimuwaza unasikia raha tu kuna watu wanafaidi jamani uzuri sawa ni muhimu kwa kiasi chake lakini Mwanamke mwerevu Ni baraka kwenye familia.