Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Yule mwamba ni msanii wa kipaji, siunaona alivyokuwa akimsifia RIP, alivyokuwa mc kwenye msiba, jamaa ana kipaji cha kuongea na kama manzi yako anapenda hela bas pigia mstari
Palamagamba kabudi kachakata Sana papuchi za watoto wa UDSM , nahs hata manzi yangu alikula yule mwamba
 
Hio inaitwa insurance policy, mtu huna majala na unajua kabisa mtoto anakutana na vibopa vinamtolea macho huko nje, utafanyaje? . Ndo inabidi kila wasaa ujiwekee insurance walau awe anakumbuka kutunza heshma vinginevyo utafanyiwa kama janjaro.
Kuna watu wana vipaji vya kusifia alafu wana pesa chafu, ogopa sana ndugu yangu
Mkeo akiwa malaya ww unaweza usidharaulike sana esp kama utafanya maamuzi ya kumuacha.

Ila mkeo akigongwa sababu ww umemfanyia marketing kwa kumpost post na kuonyesha wadau kuwa una mke mrembo unadharaulika.
 
Shost c utaletewa magonjwa ya zinaa, ni vyema kukemea Tabia za ku cheat though wanaume ndo walivyo hata ufanye nini wata cheat but ku accept cheating that means umekubal kuwa inferior na to be disrespected
Hapana, mi sina neno wala sio inferior kwasababu hata nisipoaccept ipo tu acheat, muhimu asisahau dawa ya penzi (ndom)
Tujikinge magonjwa na watoto wa nje....ila kucheat achiti yani achiti miaka mia kenda binamu
 
Sio kudharaulika, ni kudhalilika na reason haijalishi. Sasa ukija kwenye swala la kupost ni kwamba inauma zaidi kwasababu mafolowaz wote wanamjua na stori itasambaa kwa kasi ya foo ji
Mkeo akiwa malaya ww unaweza usidharaulike sana esp kama utafanya maamuzi ya kumuacha.

Ila mkeo akigongwa sababu ww umemfanyia marketing kwa kumpost post na kuonyesha wadau kuwa una mke mrembo unadharaulika.
 
Kwamba bwana niki wa second sasa hivj anasikiliza ngoma ya mavoko (kuchapiwa ni siri ya ndani)

Le profesoo palamaganda, kascore "no look goal" boby firmino
Nikki alikua Maguire alifanya 'no look defending'
 
Back
Top Bottom