Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke hataki mafao ya ilani?Walitengana kipindi fulan hapa kati, had mkewe alikua Dubai anapost akila bata tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cjui km walirudiana.
Inasemekana mheshimiwa ametengana na mrembo wakeMbona hii thread ikogo active sikuhizi
Alipata bwana, lina pesa zaidi ya mara 10 kwa mafao ya ilani.Mwanamke hataki mafao ya ilani?
Weeee, ndio maana mheshimiwa kapoaaa.Alipata bwana, lina pesa zaidi ya mara 10 kwa mafao ya ilani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio alikuwa anamsifia kuwa anaakili kuliko wananchi wote wa Tanzania na aliongoza kwa ufaulu Dunia nzima... Vipi kimetokea nini?[emoji848]Inasemekana mheshimiwa ametengana na mrembo wake
Inasemekana kazidiwa kete na jamaa mwingine mwenye mpunga mwingiSi ndio alikuwa anamsifia kuwa anaakili kuliko wananchi wote wa Tanzania na aliongoza kwa ufaulu Dunia nzima... Vipi kimetokea nini?[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hivyo mwayaaa, dada anatembea na beat la pesa tyuuh.Weeee, ndio maana mheshimiwa kapoaaa.
Inasemekana kazidiwa kete na jamaa mwingine mwenye mpunga mwingi
Sema mheshimiwa alijua kutamba mitandaoni akaona bibie kafikaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hivyo mwayaaa, dada anatembea na beat la pesa tyuuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa lile Sakata la kuchapiwa na pr wa jalalani lilimtingishaAlishindwa nini kumuoa kabisa tangu mwanzo? Nani anataka uchumba sugu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akamnyoosha. Heshima na adabu.Sema mheshimiwa alijua kutamba mitandaoni akaona bibie kafikaa..
Ile engagement ring itakuaje?Inasemekana mheshimiwa ametengana na mrembo wake
Aah we soma tu hivi vi thread