Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Umbeaa sunnah, hebu tuliaa hukooo, kwan hujaachwa? Si umeachwa kweli, sasa povu LA nn??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuuliza hayo ya Nikki na mkewe wewe yanakuhusu nini? Ukishayasema unapata faida gani? Huo muda kwa nn usiutumie kutafuta pesa?
 
Umeoza utumbo sababu ya kupigwa pipe, akili nazo zishaoza. wewe ni hasara kwa familia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajikazaa huku unagumia kwa maumivu??? Relaaaaaaaaxxxxxx Joan kayeyuka yeyuuuu, wajanja wamekukwapuaaa, kwapuuuu wamesepa nae.

Wapi DC nick, huyu hapa Countrywide
 
Kwan sio mkewe ni mzazi mwenzake, hebu weka sawa, mie faida yangu kuona wameachanaaaa.

Pesa ninazooo afu sio shida zangu sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kunywa maji mengi afu pumzikaaa, kesho uwahi ofisini.
 
Ila kuna kitu pia inabid mkuchunguze taratibu Nick pia atakuwa na shida
Kuna page insta zinapostig wadada} cutegurls,universty girls nk} wadada wote wanaopostiwa kwenye hizo page ukiclick kuwaangalia unakuta Nick kawafollow
Yaan nick kafollow wadada wote wanaopostiwa kwenye page zile za kuwatangaza
Iv ye atakuwa katulia kweli? Yawezekana nae ana mengi mpk mwanamke kamchoka

Kila page ya mwanamke utakuta Nick na Dogo janja wamefollow
Tena wale wenye mitakooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeoza utumbo sababu ya kupigwa pipe, akili nazo zishaoza. wewe ni hasara kwa familia
Tulia wewe msomi wa sociology ushagongewa nawewe tafuta mnyonge wa saizi yako kamgongee, alafu ukipata dem mwingine tunaomba utupostie instagram tumuone ili tumle tena na huyo. Yani wewe tutakulia madem zako mwanzo mwisho labda usioe au uwe unakula mashoga
 
Sijawai kuuuona ubaya wa Nikki ila kama mapenzi yanamsumbua sio jambo baya kwetu hilo ni swala linalo mtesa yeye kwa sasa kama hii ishu nikweli

Nikki ni mfano kwa vijana wengi hasa sisi ambao tumejua maisha mapema sana tumejua majukumu tukiwa Bado wadogo tunastaili kumpa heshima flan ivi

Mambo ya mahusiani kilamwadamu anayapitia Nikki sio mfano wa uhuni nombeni tusimweke kundi baya kundi la wahuni Wachache Nikki sio muhuni that why aliamua kuoa

Inaezekana unamwandika Nikki vibaya na kumchfua ila tabia zako zikawa zakishenzi sana wala ustaili kuwa kioo Cha jamii nakushauri jifunze kupitia Nikki na kama kunagumu anapitia kwa sasa basi liangalie namnagani atalishuhulikia alafu ujifunze kwake
Watu hawana shida naye, tatizo lake ni yeye kujiona Bora wengine mapoyoyo kumbe ni ushamba tu na watoto wa mjini wamemuonyesha namna Gani unatakiwa uishi na watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajikazaa huku unagumia kwa maumivu??? Relaaaaaaaaxxxxxx Joan kayeyuka yeyuuuu, wajanja wamekukwapuaaa, kwapuuuu wamesepa nae.

Wapi DC nick, huyu hapa Countrywide
I'll wee bint eti kayeyuka ,,yeyuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpumbavu ni wee uliyeachwaa, mie maskini nna furaha na amani na sijaachwa, wee tajiri mbna Joan kakubwagaaa??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nick unalo hili Kaka weee.
Mpe vidonge vyake akirudi Tena shughulika nae

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tulia wewe msomi wa sociology ushagongewa nawewe tafuta mnyonge wa saizi yako kamgongee, alafu ukipata dem mwingine tunaomba utupostie instagram tumuone ili tumle tena na huyo. Yani wewe tutakulia madem zako mwanzo mwisho labda usioe au uwe unakula mashoga
Naona umeua kumtolea UVIVU mh DC

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watu hawana shida naye, tatizo lake ni yeye kujiona Bora wengine mapoyoyo kumbe ni ushamba tu na watoto wa mjini wamemuonyesha namna Gani unatakiwa uishi na watu.
Kwa Kweli sipendi kumfurahia matatizo yake ila jamaa alikuwa kero Sana Kuna wakta anajiona mwerevu San kulikon vijan walio wengi ,mjuaji na anajisikia Kama Ni mtu special San amshukuru mama kumpa udc vinginevyo Ni siku nyingi tu angemwaga na huyo bint

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajikazaa huku unagumia kwa maumivu??? Relaaaaaaaaxxxxxx Joan kayeyuka yeyuuuu, wajanja wamekukwapuaaa, kwapuuuu wamesepa nae.

Wapi DC nick, huyu hapa Countrywide
Aisee cocastic nimeamini pasina kuacha shaka kbsa kuwa huyu unayebishana nae humu bwana Countrywide ndie Niki mwenyewe haswaa

Nimejuaje nilienda kwenye nyuz zake nikakuta kajifungulia Uzi mwenyewe kajipigia mapande matupu na Mara nyingi amekuwa akiwananga Sana chadema

Aloo nimekufulia kofia mpe za uso

Alisema hatak Kaz leo hi yupo kazini Tena ya kulamba viatu kbsaa Mbna hakukataa

Kwa kifupi Sanaa bwana huyu Ni mpuuzi tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aisee cocastic nimeamini pasina kuacha shaka kbsa kuwa huyu unayebishana nae humu bwana Countrywide ndie Niki mwenyewe haswaa

Nimejuaje nilienda kwenye nyuz zake nikakuta kajifungulia Uzi mwenyewe kajipigia mapande matupu na Mara nyingi amekuwa akiwananga Sana chadema

Aloo nimekufulia kofia mpe za uso

Alisema hatak Kaz leo hi yupo kazini Tena ya kulamba viatu kbsaa Mbna hakukataa

Kwa kifupi Sanaa bwana huyu Ni mpuuzi tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni yeye huyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani haina kubishaaaa. Sema inauma sana akisoma hizi comment humu kuna kitu atajifunza.
 
Tulia wewe msomi wa sociology ushagongewa nawewe tafuta mnyonge wa saizi yako kamgongee, alafu ukipata dem mwingine tunaomba utupostie instagram tumuone ili tumle tena na huyo. Yani wewe tutakulia madem zako mwanzo mwisho labda usioe au uwe unakula mashoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu DC kashaanza kuwehukwa, modes wawe makini nae, km vipi hii acc yake waweke pending had akiwa sawa.

Countrywide wee Nick vipi uko ofisini au?
 
Back
Top Bottom