Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

Mama akienda nje ya mstari tutampopoa tu kama tulivyokuwa tunampopoa jamaa yenu...

Tunawakumbusha tu, Mama amekuwa Rais kwa mujibu wa katiba baada ya kifo cha Rais wetu mpendwa JPM.....
 
 
 
Huyu aliyeandika hana Adabu.Nchi sasa inasonga mbele,kapewa uhuru wa kuandika atakacho lakin wapi.ukweli wakati wa awamu ya Tano,huyu asingethubutu kuandika upuuzi wa namna hii.angejikuta kalala Keko.Watanzania Mama Rais Samia ni NURU NA BARAKA ,Ametupa kwa muda mfupi tu uhuru,demokrasia,vyombo vya habari vinaripoti matukio mbalimbali bila ya woga,wasiwasi,wafanyabiashara toka ndani na nje wanazidi kumiminika kwani hakuna uwoga wa kutishwa au kunyanganywa au kufungiwa chako,watumishi nawafanyakazi wanaendelea tena kwa ufanisi mkubwa wakijua nchi imerudi katika sheria n.k mihimili 3 ya nchi kwa mujibu wa katiba inaheshimiana yaani Serikali,Bunge na Mahakama(Judiciary) n.k Tunataka nini tena.Huyu aliyeandika kumponda Mh.Rais Samia TUMPUUZE TU.HAJUI ANACHOKIANDIKA.TUMPE POLE TU.
 
Mkuu we ni matako Sana ulitaka tumsifu mama ako ? Bas kama ndio hivo tuletee wadhifa wake Tu msifu au unasumbuliwa na kukosa vitamins teuzi unakua na muhaho?
 
Daaah sisi patronial society Kama wakurya, wamasai, wasukuma, wahehe n.k tunapata taabu sana kuongozwa na mwanamke yaani kiukweli hadi muda huu hatuamini Kama kweli tunaraisi yaani hii miaka minne tunatamani iishe haraka siku zote sisi tunaamini familia ikiongozwa na mwanamke inadharaulika sana


Nahisi mfumo tuliokulia maana kwetu tuna akina mtwa, mtemi, laibon wote hawa shart awe mwanaume sio kwamba hatuwapendi wanawake ra hasha ila hatuamini kuongozwa na mwanamke maana hatutaongozwa vizuri ila kwa kuwa ameokota DODO chini ya Mpingu basi hutuna namna ya kufanya

Mungu atupe uvumilivu ili nasi tuamini Kama tunakiongozi
 
Mbona na nyingi mlimsifia sana Magufuli
 
Tunachokisema ni kwamba: Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.

Kazi iendelee
 
Team hayati kazini
Sidhani kama wote ni team hayati, kuna ukweli fulani.

Huyu mama na timu yake inabidi tuipe muda kabla hatujaanza mapambio.
Mfano jana nilimwona Mulamula akihojiwa ITV...dah!
Huyu waziri ana hoja nyepesi sana halafu muda wote ni kuchekacheka tu bila mpangilio. Aliniboa sana.
Kama huyu ndio mfano halisi wa team yake ya uongozi basi kuna shida mbele.
 
Wewe bado unastress za kifo Cha mwendazake ,aliefanya taifa Kama mali yake BINAFSI na Genge lenu, na hapa mama ataitaji kazi ya xiada Kama ambavyo ameanza kuweka Mambo sawa ,taifa lilikua linaninginia kwenye kuti kavu , mpaka mda huu hata Kama mama utamsema vipi japo nae Sio malaika but kaisha mpiga gape mwendazake ,
 
Ujinga
 
Mkuu we ni matako Sana ulitaka tumsifu mama ako ? Bas kama ndio hivo tuletee wadhifa wake Tu msifu au unasumbuliwa na kukosa vitamins teuzi unakua na muhaho?
Dah wewe ni fala.
Lakini ndio haiba ya BAVICHA bila matusi hujatoa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…