Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Bar Kuna Nini Tena. Mbona unatuharibia jina zuriSasa matusi ya nini mkuu.
Kama una frustration nenda Bar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bar Kuna Nini Tena. Mbona unatuharibia jina zuriSasa matusi ya nini mkuu.
Kama una frustration nenda Bar
Nyie Watu bhana, Mama hajamaliza hata mwezi Ofisini unamwambia hana Vision. Kumbuka amepata Urais katika mazingira yasiyotarajiwa. Tumpe muda amalize kuunda wasaidizi wake. Unaweza nitajia Mission Vision na Core Values za Nchi katika utawala uliopita? Mimi naijua core value moja....Vitisho at its best.....Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.
Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Kama vision yake hujaiona wewe una shida kubwaIko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.
Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Unashabikia timu gani kati ya Simba na Yanga mkuu..... Hebu tuanzie hapo!Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu...
Una maana chama kinacho tawala kimechoka kutawala?Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu...
Kwa sasa Samia ndiye Raisi wa Jamhuri ya Tanzania. Tusipomsifia yeye nani atamsifia? Jiwe naye alivyokuwa raisi mbona tulimsifia!!! Jiwe kaenda harudi tena hivyo lazima tumsifie raisi aliyepo!Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini...
Mbona tayari washafanya marekebisho, unakaa nchi gani ww?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona hata bando tu kashindwa pamoja na matamuko na wenye mitandao yao wameziba masikio hana chakufanya ngoja tusubili muda bado ni mapema sana kusifia maana hata siku 100 hajaisha.
Mkuu wamelekesha wapi mbona mm sijaona.Mbona tayari washatanya marekebisho, unakaa nchi gani ww?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku mkiingia 18 zake akawabana kende msiingie kutoa povu hapa muendelee kusifia tu.Mama yuko juu huyoooo..hapana chezea...
Ngoja uchaguzi ufike ndo utajua hakuna mwana CCM yeyote yule mwenye huruma na upinzani kwenye sanduku la kura.Hahahaha...
Kuna mwizi kuzidi jiwe ?!!!
Tawire kaka.Nusu yake nyingi, tunataka tupate zero kabisa, ili Huyo bi mkubwa azidi kupaa, ili mradi nchi haiko mikononi mwa dhalimu tena.
Kwa maelezo yakoIko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu..
So nia yako ni kwamba ajiuzulu aitishe uchaguz mwingine?Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu....
Mimi sijakujibu wewe Nyumbu wa Ufipa,nimemjibu mtoa post.We fala kumbuka mtoa post ni mataga mwezio
Wasiokuelewa watakutukana. Ukweli utajulikana baada ya miezi minne. Tujipe kipindi cha maangalioIko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.
Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Pressure iko poa.Mdogo wangu,hebu kaa chini utulie kunywa maji glass moja pressure ishuke kwanza.
Chadema hata uchaguzi ukirudiwa kura zenu za uchaguzi uliopita mtapata nusu yake,Chezea B mkubwa wewe.
Sina Masilahi yoyote mimi.
Mimi ni mzalendo tunahitaji kuwa na misingi imara ya uongozi.
HAKIKA!!Wewe ulitakaje? Mleta mada?
Lazima tukubali jpm hayupo tena hizi ni zama mpya