Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.

Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.

Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Rais Samia kaongea kuhusu Infrastructure Development Strategic Plan 2021-2025 unaijua io au inazani ni ujinga ujinga kama wewe
 
Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.

Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.

Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
akituzingua tutamzingua
 
Rudi ikulyamabambashi
 
Sawa Musiba
 
Sikiliza we mataga maza akitugeuka nasi pia tunamgeuka,akituzingua nasi pia tunamzingua sisi huwa atucheki na kima tunapenda haki,na kwa taharifa yako sisi sio mataga wazee wa kusifu na kuabudu tu hata kama jiwe lilikuwa linakosea.

Kwa hiyo maza asimamie maneno yake na katiba na kutenda haki kinyume na hapo tunaungana na kigogo kupiga tu kama kawa.
 
Wabongo ni wanafiki kwa kiwango cha PhD, hawa kukugeuka ni sekunde tu na ni wepesi wa kusahau balaa.Ukitaka kuongoza vizuri hii nchi jiondoe kabisa kwenye hii mitandao ya kijamii utapotea,hilo ameliona Rais Kenyatta wa Kenya.Haya, leo yanamsifia kwa kumng'ong'a subiri baada ya miezi mitano uone, ndio utajua hawa ni watu ama nini.JK alipoingia madarakani mwaka 2005 na kuanza kuchukua baadhi ya hatua kila mtu alishangilia kuwa nchi imepata malaika mkombozi, baada ya miaka miwili wakamuona mbaya na matusi yakaanza wakaanza kusema bora arudi Mkapa ambaye kipindi anamaliza uongozi wake mwaka 2005 alionekana kuwa hafai. Akili za kuambiwa changanya na zako,siyo kila unachoshauriwa ukifanyie kazi ushauri mwingine ni majanga tupu.
 
Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.

Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.

Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Mwaka huu Tim ile mtapasuka KWA hasira,
 
Bi mkubwa afuate ilani tu na kumaliza miradi mikubwa ambayo inajengwa.
 
Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.

Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.

Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Pole sana....
 
Na bahati nzuri huyu hafi tutaenda nae miaka 14 ijayo shenzi kabisa nyie. Anamalizia ya kaka jambazi then tunaanza safari ya matumaini. Mtazoea tu kama vp hamieni Burundi kwenu, msituzingue.
 
Back
Top Bottom