DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Lack of patriotism
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati watu wanasema kipinndi mh mungu yupo hai mulikuwa mnajibu niniSina Masilahi yoyote mimi.
Mimi ni mzalendo tunahitaji kuwa na misingi imara ya uongozi.
Hahahaha...Chadema hata uchaguzi ukirudiwa kura zenu za uchaguzi uliopita mtapata nusu yake,Chezea B mkubwa wewe.
Naona hata bando tu kashindwa pamoja na matamuko na wenye mitandao yao wameziba masikio hana chakufanya ngoja tusubili muda bado ni mapema sana kusifia maana hata siku 100 hajaisha.Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Mkenya huyu!!Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
UKWELI NI KWAMBA;Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Mkuu siku zinasogea. Tusubiri siku 100 tujadili kwa upana wake. Sasa ni maneno tu yaliyopo, labda ndani ya siku 100 tutaona vitendo.Ila poa tu mimi nasubiri great fall
Ndiyo nasema Rais Samia akifanya vizuri atasifia, akikosea atakosolewa.Mbeligiji wenu kawaonya, suala la kumwaga sifa asubuhi na mapema.
Mdogo wangu,hebu kaa chini utulie kunywa maji glass moja pressure ishuke kwanza.Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Mkuu, Lisu alivyopigwa risasi yeye pekee ndio alienda kumpa pole hosptal huku nyuma wote wakikana kabisa, huo je ulikua unafiki? Kama ulikiliza hotuba ya Mh rais alisema mkono wake ulikua mfupi akimaanisha kua yoote haya anayofanya sasa alikua anahitaji kutekeleza toka kipindi cha nyuma ila alishindwa, na pia ni mtu anaesikiliza wananchi wake kwahyo sioni lolote baya kwake kua mvumilivu tupate furaha.Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
We fala kumbuka mtoa post ni mataga mwezioChadema hata uchaguzi ukirudiwa kura zenu za uchaguzi uliopita mtapata nusu yake,Chezea B mkubwa wewe.
aliekwambia wataalam ni wa twitter ni nani?Kuna wataalamu gani twiter.??
Sawa vaa chup yako uendeIko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Mama atafanya makubwa sana,amekaa na jiwe miaka mitano amesoma vizuri utwala Wa jiwe ulikuwa Wa ajabu sana.Naona hata bando tu kashindwa pamoja na matamuko na wenye mitandao yao wameziba masikio hana chakufanya ngoja tusubili muda bado ni mapema sana kusifia maana hata siku 100 hajaisha.
Lakini si amesema anaenda na ilani ya uchaguzi ya CCM, ingawaje anaona mengine kama ndoto!Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani raisi hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Mimi nauzika na viongozi wanafiki Samia ni mmoja wapo.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
Mlizoea like ki dingi ki jpm kuua watu ndo mlifurahi! Sasa kaja mwenye kupenda haki sawa bila manyanyaso mmefura.Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu...