Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kama nisingezijua kama wewe biashara yangu isingeshake shakeLBL na FIC ndo kitu gani huko Daslama?
More info please vinginevyo ujumbe hujafikisha mwananguKwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure.
Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe.
Poleni.
Acha mabilionea wetu wale pesa yao hao ni wawekezajiSerikali ilitakiwa kuwakamata waliotapeliwa na kuwaweka sero ya mwezi
Ponze schemes Ni Hatari SanaKwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure.
Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe.
Poleni.
Watu wanadhani kupata pesa ni kama kuchuma maembe mtini,na hivi kubadilika hawataki wataibiwa waje kuamka kila mmoja anaongea lugha ya kufilisikaKuna mmoja aliniita Mimi mshamba sijui fursa nikasema nenda kwenye fursa hizo upate kua bilionea haraka
Wanasema walikua wanaona pesa kwenye mkekaItakuwa kubeti tu hiyo
"If something is free, then you are the product."Kwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure.
Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe.
Poleni.
Wanasema walikua wanaona pesa kwenye mkeka lakini kutoa ndio ikawa shida"If something is free, then you are the product."
Wasomi wa bongo ni mipumbavu mipuuzi mifara kabisaFIC ililenga wasomi na waajiriwa yaani imewapiga pesa ndio maana wanalia kimyakimya