Tutarajie ongezeko la wagonjwa wa kisukari na pressure

Tutarajie ongezeko la wagonjwa wa kisukari na pressure

Pesa haitaki pupa ndio maana wenye pupa wote huishia pesa ya kula na visenti vidogovidogo
 
Hii F.I.C Kuna mshikaji alitaka kunishawishi nikampuuza, nilimjibu acha Mimi niendelee kumfaidisha mhindi kupitia hizi hizi betting zetu zinazo tambulika kisheria na serikali.

Jamaa alinionesha Hadi balance alitia 1M mpaka kipindi ananionesha alikuwa na zaidi ya 2.5M ila niligoma huo mtego

Kipindi ilipozuka inshu ya LBL, nilimuuliza vipi umesikia?, jamaa alikuwa mbishi na kuendelea kukomaa

Siku chache baada anadai alikuwa anajiribu kutoa muamula inagoma, anaambiwa mpaka tarehe 1 march Kuna marekebisho yanafanyika....nikajua tayari huyu ashaliwa kichwa.

Mpaka Leo Bado anaamini Kuna maboresho yanafanyika, na Mimi ni nani naendelea kumtia moyo huyu mshikaji wangu

Alafu ni Mjeda.
 
Kuna nyingine imezuka mfumo ni uleule wa LBL kuna workmate katoka kunipigia simu.
Nimemwambia mimi ninayebeti siwezi kukuelewa uniambie niweke 50,000 halafu nipate 1,500 tena kwa kuangalia video. No!

Mimi nikiwa na 50,000 natangaza vita na mhindi.
 
Vilioni ni vingi na vipigo ni vikali...tulia. tuombe tu vifo visitokee. Ila stroke na kisukari haviepukiki
Tuna changamoto kubwa ya Elimu, Elimu, Elimu...watu hata kuelewa tu maelekezo hawaelewi!!!!
lakini pia; Sio sawa kukopa hela kwa ajili ya Kubeti; Kubeti unatakiwa utumie hela kidogo ya kipato chako
mfano una mshahara wa shs laki sita, ukiamua kuitosa 50,000 ni sawa, ili hata ukikosa maisha yaendelee
 
DECI, JATU, QNET,Mr Kuku, Kalyanda, FIC,LBL, GLOBAL

Na Bado.. ......
Wajiunga Kuanzia Darasa La Pili B,,Form IV, Diploma, Degree, Masters, Dkt, Professor
Wajinga Wapo Wengi Sana
Mkuu Kuna pie network italiza wengi
 
Back
Top Bottom