Tutarajie ongezeko la wagonjwa wa kisukari na pressure

Tutarajie ongezeko la wagonjwa wa kisukari na pressure

FIC imepiga kwenye mshono

Kuna jamaa nilimuambia hakuna betting ya namna hii tangia dunia iumbwe
Vilioni ni vingi na vipigo ni vikali...tulia. tuombe tu vifo visitokee. Ila stroke na kisukari haviepukiki
 
Ila kuna watanzania ni wajinga sana,,,wanapenda hela za mteremko,,,kuna wamama wapo halmashauri X nahisi kuanzia juzi hawatakuwa na hamu ya mapenzi jinsi FIC ilivyowafanya,,kuna mmoja alikuwa anaiona milioni 30 ila kuitoa hawezi,,,
Hahaaahahaajaajh
 
Back
Top Bottom