Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hivi yule sijui mkurugenzi wa Jatu kesi yake imefikia wapi? Nimeona mdau kaonhezea na nyigine ya kuchimba mgoni online. Dah, yaani jina lenyewe linatia shaka.DECI, JATU, QNET,Mr Kuku, Kalyanda, FIC,LBL, GLOBAL
Na Bado.. ......
Wajiunga Kuanzia Darasa La Pili B,,Form IV, Diploma, Degree, Masters, Dkt, Professor
Wajinga Wapo Wengi Sana
Yaani unaweka hela yako kwz kampuni albayo haizalishi chochote? Ila ndezi huwa hawaishi, maana ndezi huzaa ndezi.Halafu imetandika wasomi , waajiriwa , yaani ubilionea upotea ghafla , wawekezaji walikua wanajihesabia miaka miwili Tu tayari watamiliki vitu vya thamani lakini ndio hivo
Wamefnanyaje maana Kuna mtu alinishawishi nijiunge nikakataaFIC imepiga kwenye mshono
Kuna jamaa nilimuambia hakuna betting ya namna hii tangia dunia iumbwe
Karibu kila Mkoa ilikuwepo.Hiko ni Mbeya ndio HQ ilipokuw
π wajinga hawaishiWajinga ndio wanaoliwa..Kuna hili kundi la bodaboda na bajaj ndio sasa hivi wanapigwa sana..wanatamaa sana
hakuna hela ya rahisi wala mafanikio kwa njia ya mkato..π wajinga hawaishi
Tatizo watu wabishi hawataki kukubali
ACHA WAPIGWE TUUU
Ova
Nimepitwa ni nn hii ?Serikali ilitakiwa kuwakamata wote waliotapeliwa na kuwaweka sero ya mwezi
Eeh mkeka,lkn wanaikodolea macho tu,hawawezi kuitoa,hii ni kama tamaa ya fisi kudhania siku moja mkono wa binadamu utandondoka ili haufaidi.Wanasema walikua wanaona pesa kwenye mkeka
Kabisa....alafu wao wanawaambia pesa yenu tunawekeza wapi sjui π biashara yenyewe haionekanihakuna hela ya rahisi wala mafanikio kwa njia ya mkato..
Mamlaka wanajua Sana sema wanasubiria pesa zijae,watu walizane waje wawapige tanchiUwa najiuliza sana,hivi huu ni utapeli uliohalalishwa na mamlaka?,,unaanzaje kazi zake?,je huwa hakuna usajiri?,, mtaani ukifungua tu kijiduka tayari watoza ushuru hao mlangoni!!,mara watu wa mazingira,mara wa mizani nk,, wengine hawaonekani??,nani wanakula nao?
Shida iko hapa πKwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure.
Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe.
Poleni.
Kwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure.
Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe.
Poleni.
Kwani wewe hujazisikia LBL na FIC?Mimi sijui hao LBL nk Japo nafaham kuwa;
Kanuni ya kubeti, ni kutumia pesa ambayo ukiipoteza haikuumizi (invest what you can afford to loose). Sasa kama utauza mahindi yako yote au utakopa upeleke hela kwenye kubeti ...inamaana ulijiingiza kwenye mchezo bila kujua kanuni za mchezo....na hii kanuni ni kwa betting ZOTE DUNIANI hivyo zingatia!
WAJULISHE NA WENZAKO ili wasirudie makosa!