Tutashinda goli 5". Mjifunze kuheshimu mpira

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.

Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.

Tujifunze kuheshimu mpira
 
Punguza bangi, hasa zikiwa mbichi zina msala sana

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.

Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.

Tujifunze kuheshimu mpira
Wivu ni mbaya Sana mpongeze mtani tu....
 
Siwezi kuumia kama mnavyoumia ninyi.Nina raha sana.Graph inashuka chini kwa kasi sana.Wengi wenu kelele zilikuwa nyingi sana leo nimeshuhudia mmeshinda,mmefuzu ila mashabiki wenu hamna furaha.
We poyoyo kweli wewe. Mashabiki wa Yanga hawana furaha?
 
Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.

Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.

Tujifunze kuheshimu mpira
"Wanaoumia ni wengi kuliko mashabiki wa al merrikh hapa chamazi " in mpenja voice [emoji23]
 
Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.

Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.

Tujifunze kuheshimu mpira
Tunashukuru mmesema wenyewe huko makundi pagumu. Tukizifunga timu huko msianze kuziita dhaifu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…