Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza bangi, hasa zikiwa mbichi zina msala sanaMi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.
Tujifunze kuheshimu mpira
Siwezi kuumia kama mnavyoumia ninyi.Nina raha sana.Graph inashuka chini kwa kasi sana.Wengi wenu kelele zilikuwa nyingi sana leo nimeshuhudia mmeshinda,mmefuzu ila mashabiki wenu hamna furaha.Unaumia ukiwa pande zipi?
Sawa kichupi fc.Nawe acha kutuuzia basiPunguza bangi, hasa zikiwa mbichi zina msala sana
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sana
Wivu ni mbaya Sana mpongeze mtani tu....Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.
Tujifunze kuheshimu mpira
We poyoyo kweli wewe. Mashabiki wa Yanga hawana furaha?Siwezi kuumia kama mnavyoumia ninyi.Nina raha sana.Graph inashuka chini kwa kasi sana.Wengi wenu kelele zilikuwa nyingi sana leo nimeshuhudia mmeshinda,mmefuzu ila mashabiki wenu hamna furaha.
Bado hamjasemaMi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.
Tujifunze kuheshimu mpira
"Wanaoumia ni wengi kuliko mashabiki wa al merrikh hapa chamazi " in mpenja voice [emoji23]Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.
Tujifunze kuheshimu mpira
Tulishampongeza aliposhinda Rwanda,lakini akawa na kiburi eti amalize kwanza kwa kumpa mtu tano.Wivu ni mbaya Sana mpongeze mtani tu....
Ni kweli mashabiki wa vichupi leo hawana furaha kama walivyotarajia"Wanaoumia ni wengi kuliko mashabiki wa al merrikh hapa chamazi " in mpenja voice [emoji23]
Tunashukuru mmesema wenyewe huko makundi pagumu. Tukizifunga timu huko msianze kuziita dhaifu tenaMi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.
Tujifunze kuheshimu mpira
Siwezi kuumia kama mnavyoumia ninyi.Nina raha sana.Graph inashuka chini kwa kasi sana.Wengi wenu kelele zilikuwa nyingi sana leo nimeshuhudia mmeshinda,mmefuzu ila mashabiki wenu hamna furaha.
Naunga mkono hojaTunashukuru mmesema wenyewe huko makundi pagumu. Tukizifunga timu huko msianze kuziita dhaifu tena
Hamna unajua ulipotolewa na timu ya botswana ni kama funzo KWA YangaTulishampongeza aliposhinda Rwanda,lakini akawa na kiburi eti amalize kwanza kwa kumpa mtu tano.