October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
- #21
huu mwaka kitawaka sana tupo na nyie mpaka mwisho
Jisahaulisheni mpo kwenye makali
huu mwaka kitawaka sana tupo na nyie mpaka mwisho
Angalieni mbuzi hii🚮🚮🚮😂
Mwisho wa Samia ni huu, haendi popote zaidi ya hapa.Halula!
Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
Mwisho wa Samia ni huu, haendi popote zaidi ya hapa.
Imekwisha.
Kaa Kwa kutulia, Mwisho wake umefika.Tutaona! Msifikiri yeye ni mbumbumbu kama ninyi
Hahaha tupo. HatumtakiUwepo usiwepo Mama mpaka 2030
Uwepo usiwepo Mama mpaka 2030
Labda kama atakua anaongoza akiwa Oman
Kweli kabisa !Ndugu nchi hii kuna watu wanaijua kuliko unavyofikili ,we jione ati kuwa ofisin miaka 30 mnaijua nchi, kaa kwa kutulia,
Halula! Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
Hawajui nguvu ya watuwanaoambana nao, na sikuzote mwenyekitihatumii akili kufikiriaHalula!
Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
Halula! Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
Hawajui nguvu ya watuwanaoambana nao, na sikuzote mwenyekitihatumii akili kufikiriaHalula!
Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
Uhuru haukuwa wa mchanga, ni wa watu, wananchiHawajui hata mchanga wa Uhuru ulitupiwa wapi
Uhuru haukuwa wa mchanga, ni wa watu, wananchi
Porojo za kijinga sana hizo.Kama hujui wananchi ni udongo poye
Hivi Zanzibar kuna wanafunzi huwa wanapata divion one?Halula!
Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
Hivi Zanzibar kuna wanafunzi huwa wanapata divion one?
SIO WT USITUCHANGANYE. HUO USHIRIKINA ULIFANYWA NA NYENYERE TWAUFAHAMUMkizipata zile BAKURI 2 ambazo mchanga ulichanganywa mule ndipo akili za watanganyika zilimo. 😂😂
LABDA KM MUNGU AMEKUFAUwepo usiwepo Mama mpaka 2030