Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

Ninakuelewa kamanda!!
 
Jambo la mwanzo watanzania tuungane kuupinga sheria waliyoipitisha hivi karibuni ya wake wa Marais wastaafu kulipwa mafao wakati tunajuwa waume zao wanalipwa asilimia 80 ya Marais waliomadarakani na wao ndio wenye majukumu ya kuwatunza wake zao.
 
Kweli!
 
1 Samweli 2
25 Mtu mmoja akimkosa mwenzake, Mungu atamhukumu; lakini mtu akimkosa Bwana, ni nani atakayemtetea? Lakini hawakuisikia sauti ya baba yao, kwa sababu Bwana amekusudia kuwaua.
 
Athari ya kwanza ni kuongezeka kwa bei ya Sukumawiki
 
Mbona wiki nzima hii kuna wimbi la Wakenya wasaka amani wameingia Tanzania.

Tujitayarishe kupokea wageni, lakini tujichunge nao sana, Wakenya ni watu wa fitna na majungu sana.
 
Mtu anayeingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi lazima atawale kwa vitisho na sio kusikilizana na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…