Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

hilo halikuhusu endelea kuuza njegere zako Kama kawaida
 
Kwako Rais wa nchi Jirani kutangaza Hali ya hatari ni jambo dogo?

Bunge kutekwa na kuchomwa moto ni jambo dogo?
Muwe mnasomaga na kufuatilia historia ya dunia ilikotoka

Mungu akishaukataa uongozi wa nchi fulani ataonesha kila aina ya ishara ili wajue.

Hilo la Bunge kupigwa moto na uharibifu mwingine ni ishara tu kuwa, ondoka au badili maamuzi na uelekeo wako maana maamuzi yako na huko uendako siko!

Tujifunze kwa Misri ya Farao ya kale

Ni kuwa, Misri ya Farao ya kale si tu Farao alitangaza hali ya hatari na ikulu na Bunge na taasisi zote za serikali kuteketezwa bali Farao (Rais mwenyewe na serikali yake yote) na jeshi lake lote la Misri na vifaa vyake waliteketezwa kwa kufukiwa ndani ya vilindi vya maji ya bahari ya Shamu!

Mungu akatengeneza A NEW BEGINNING KWA TAIFA LA MISRI na ISRAEL
 
Jamani tusilale, Kwa Jirani hakukaliki!!
 
Back
Top Bottom