Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Cheki wananchi walivyomshangilia Gwajima alipoitwa na Raisi aongee machache
Hivi kile kilichopakwa kwenye 🎤 ni nini!!🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki wananchi walivyomshangilia Gwajima alipoitwa na Raisi aongee machache
Kwani hii ya corona ulidhani ingewezekana kupinga?
Chanjo itakufanya usipelekwe ICU hata kama utaambukizwa, Elewa kwamba Hatari ya corona ni pale itakapofikia mgonjwa hawezi kupumua , hapo ndio huwa ICU ni lazima uwekwe oksijen na hapo ndio huwa kale kamchezo ka " PATA POTEA"Viongozi hawawezi toa amri sababu chanjo ni hiari,ila wameshauri usipotoshe!
Chanjo haizuii maambukizi!
Ukichanja lzm ufuate tahadhari zote!
Sasa chanjo ya nini?
Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea"
Kwa kauli hii Spika na Waziri wa Afya wako na hali gani kwa sasa?
Je, tuendelee kutegemea hatua zozote kutoka kwenye chama (CCM) dhidi ya Gwajiboy?
It is pure Hippocratic and mimic. "Mama kumia". It is a matter of time. I see the demise of the Gwajiboy in the neighborhood.Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea"
Kwa kauli hii Spika na Waziri wa Afya wako na hali gani kwa sasa?
Je, tuendelee kutegemea hatua zozote kutoka kwenye chama (CCM) dhidi ya Gwajiboy?
Magaidi ndio yafe yoteCCM wafe wote
Chanjo ndio kinga yako usife?. Mbona wenye hizo chanjo kibao tu wanarudisha namba. Anyways ni hiari kuchanjwa.Mimi nimefiwa sana ndio maana nimechanja. Wewe ambae haujafiwa endelea na imani yako.
Amandla...
Ulichofanya hapa umechukua historical pictures umerusha.Kuna mwanasiasa asiekula matapishi yake nchi hii? Thread za namna hii ndo zinasababisha baadhi ya wanasiasa uchwara wawaone wafuasi wao mazombi wa kuamini kila wanachosema. Wazazi wa mazombi hawa wamezaa tu ila faida ya uzazi huo wanapata wanasiasa.
View attachment 1920909
View attachment 1920910
View attachment 1920911
View attachment 1920912
Mkuu hata kama una mahaba na chama au Mbowe, nakushauri sometimes uongee na ukili au moyo wako ili akili au moyo huo vikubali kuchanganua mambo vyenyewe bila kuingiliwa na mahaba ya kichama, mtu au kitu chochote, hapo ndio utaona faida ya kupewa akili na Mungu. Hebu fikiria... hivi inawezekana vipi kwa chama kikubwa na makini kimpe mtu mgeni ambae hajafikisha hata miezi mi5 chamani, na ambae tayari ashajulikana nchi nzima kuwa ni fisadi kuu nafasi ya kugombea uraisi, na kuwaacha wafia chama halisi na wapigania chama wa miaka miaka eti sababu tu ana urafiki na mwenyekiti! Huu ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu. Wanasiasa njaa na uchwara wa Tanzania wanatakiwa wakajifunze siasa nzuri za upinzani kwa raisi Hichilema.Ulichofanya hapa umechukua historical pictures umerusha.
Iko hivi. Mtu anaweza kua rafiki yako leo lakini kua rafiki yako hai gurantee kumkosea. Ukimkosea rafiki yako lazima upate reaction. Ndio lowasa alikua ana urafiki na mbowe. Lakini baada ya mbowe kugundua lowassa ni mtu wa aina gani. Mbowe akaamua kugeuka. Ni kitu kinachowezekana.
Sasa unataka kutumia picha ku manupulate watu. Kumbe ww mahakamani unaweza kushindwa kesi kirahisi sana
Nimegundua wewe huna akili hakuna haja ya kubishana na wwLawama zote ni lazima azibebe Magufuli kwa sababu serikali iliyopo madarakani sasa hivi imepata mentality,uzoefu,kiburi pamoja na mafunzo ya kupinga chanjo kutoka kwa Magufuli kwa sababu ndiyo iliyokuwa serikali ya Magufuli na huo ndiyo urithi ambao Magufuli aliuacha kwa serikali yake alipokufa.
Mwenye akili nyingi sana ni wewe pamoja na huyu👇🐒🐒🐒Nimegundua wewe huna akili hakuna haja ya kubishana na ww