Cholo master
Member
- Feb 15, 2023
- 48
- 22
Uzalendo upi unazungumzia wewe maana jambo hili ni la kawaida yaani mtu asizungumze sababu hayupo kwenye uongozi punguza jazbaInashangaza sana mkuu. Inakatisha tamaa pia wengine wanaona uzalendo hauna maana tena
Mkubwa mana kijana shupavu huyuTutegemee
Tutegemee ushirikiano
Ulipiga nae ilo deal ama usiandike tu sababu ya chukiJambazi sugu na mpiga deal mkuu
Sasa shida ipo wapi.Mahakama imemuachia huru tafsiri yake hana makosa.Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Ni mtanzania km wewe, hata wewe unaweza kuomba appointment kuonana na PM. Shida we hujiaminiKama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Uzuri walidhulumiwa wapo malipo hapa hapa dunianiiiiUlipiga nae ilo deal ama usiandike tu sababu ya chuki
Asee umenifany ni cheke ASEE [emoji16]Majaliwa ntu wa dili
Alikutwa na hatia ila aliingia kwenye plea-bargain..Vyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.
Wabongo wapole sanaUzuri walidhulumiwa wapo malipo hapa hapa dunianiiii
Ipo siku.....relax tu watalipwa hapa hapaWabongo wapole sana
Yani uhalifu wote waliofanya hawa majambazi wawili(bashite na sabaya) lakini hawajawahi hata kupigwa makofi mtaani!!
Kama Lissu alivyotuambiaga ile 2015 kwenye kampeni za uchaguzi kuwa kama Lowassa ni fisadi mbona hajapelekwa mahakamani?Vyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.
Mbona umepanic hivyo wewe utakuwa mtalaka wa tumbili ambaye sasa ni mchepuko rasmi wa diblo. Ama kweli wapambe mna nguvu kuliko wenye mali,mkewe katulia huko wewe mchepuko ndiyo unapambana.Mda mwingine jifunze kuficha ujinga wako mbele ya watu.
Alimficha nani Baba yako au!?
Nyumbu hawalijui hili.Sasa shida ipo wapi.Mahakama imemuachia huru tafsiri yake hana makosa.
KWANI MTUHUMIWA/MSHTAKIWA HANA HAKI YA KUONGEA NA KIONGOZI?
Wanasema alimficha mamakoMda mwingine jifunze kuficha ujinga wako mbele ya watu.
Alimficha nani Baba yako au!?
Serikali imejaa vinara wa wizi. Hivyo si jambo la ajabu, wevi kuwa na mazungumzo. Pesaalizokuwa anapora Sabaya, usidhani zilikuwa zinaishia kwenye mijono ya Sabaya pekee. Ndiyo maana Sabaya alisema kuwa ujambazi aliokuwa anafanya ulikuwa unafahamika kwa wakuu wake wa kazi. Hiyo kauli ndiyo iliyomponza.kwa tanzania tunayoifahamu sisi watanzania hilo sio jambo la kushangaza wala kustaajabisha mkuu, hapo ni kada anaongea na kada mwenzake.
Wanajisahau hawa yaani washakula matapishi yao na wakajisahauKama Lissu alivyotuambiaga ile 2015 kwenye kampeni za uchaguzi kuwa kama Lowassa ni fisadi mbona hajapelekwa mahakamani?
Majizi ya kura hayaogopi tena kufanya upvu wowote ule,dhamira zao zilishakufa siku nyingi.Serikali imejaa vinara wa wizi. Hivyo si jambo la ajabu, wevi kuwa na mazungumzo. Pesaalizokuwa anapora Sabaya, usidhani zilikuwa zinaishia kwenye mijono ya Sabaya pekee. Ndiyo maana Sabaya alisema kuwa ujambazi aliokuwa anafanya ulikuwa unafahamika kwa wakuu wake wa kazi. Hiyo kauli ndiyo iliyomponza.