Tanzania chombo cha sheria kipo kwa masikini tu hasa wawindaji wa wanyamapori hawa wadogo wadogo achana na wale wa pembe za ndovu wale wanalingana na sheria.....afu CCM woooote sheria wameikanyaga ikafia hukoooVyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.
💯💯💯mimi huwa siachi kusema... kuwa nchi yetu inaongozwa na MAJAMBAZI.... 😭😭😭😭
Kwa hiyo kama kakaa jela karibu miaka mitatu, unataka akakae porini?Sabaya ni jambazi kama walivyo majambazi wengine.
Sabaya ni jambazi kama walivyo majambazi wengine.
Nyie wachaga enzi za wizi wenu zimeisha nawaambia zimeisha kabisa Mkoa wa Arusha ni wa Wamasai waacheni wa Masai nao wampende mtu wao na nyie shabikieni gaidi lenu Mboweexpand...
Labda Sabaya alikuwa akitekeleza maelekezo kutoka juuWaziri mkuu anaongea na jambazi comfortably kabisa. Tumepigwa
Tulia sabaya hata kama uliachiwa wewe ni jambazi sugu huo ni ukweli ambao hautabadilika kamwe, jambazi weweWe si ulikuwa mmoja wa watoa ushahidi!!?.
Kesi zenu hizo za kutunga zimeishia wapi!??
Aibu yenu.
Endelea na ujinga wako huo huo.Tulia sabaya hata kama uliachiwa wewe ni jambazi sugu huo ni ukweli ambao hautabadilika kamwe, jambazi wewe
Walishazoea biashara za magendo na kukwepa kodi..Nyie wachaga enzi za wizi wenu zimeisha nawaambia zimeisha kabisa Mkoa wa Arusha ni wa Wamasai waacheni wa Masai nao wampende mtu wao na nyie shabikieni gaidi lenu Mbowe
hakikamimi huwa siachi kusema... kuwa nchi yetu inaongozwa na MAJAMBAZI.... 😭😭😭😭
Na wewe pia usiache ujinga ulio naoEndelea na ujinga wako huo huo.
Mbona hukwensa kutoa ushahidi?!, au kipindi sabaya anashitakiwa ulikuwa bado hujazaliwa?Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
CDM nyie ni wapuuzi SanaTunaenda kuwa a mafia state, huku Makonda, huku Sabaya, wote wauaji makatili.
Mafia state, wauaji mpo wengi nchi hiiMbona hukwensa kutoa ushahidi?!, au kipindi sabaya anashitakiwa ulikuwa bado hujazaliwa?