Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Tanzania chombo cha sheria kipo kwa masikini tu hasa wawindaji wa wanyamapori hawa wadogo wadogo achana na wale wa pembe za ndovu wale wanalingana na sheria.....afu CCM woooote sheria wameikanyaga ikafia hukoooVyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.