Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Vyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.
Tanzania chombo cha sheria kipo kwa masikini tu hasa wawindaji wa wanyamapori hawa wadogo wadogo achana na wale wa pembe za ndovu wale wanalingana na sheria.....afu CCM woooote sheria wameikanyaga ikafia hukooo
 
Ukiwa ccm au una pesa au maarufu jela lazima itakuogopa
 
Hiyo picha ni akiwa DC,hivi hata ku verify taarifa huwa hamuwezi? Watanzania mna spidi ya kutoa maoni sana
 
We si ulikuwa mmoja wa watoa ushahidi!!?.


Kesi zenu hizo za kutunga zimeishia wapi!??

Aibu yenu.
Tulia sabaya hata kama uliachiwa wewe ni jambazi sugu huo ni ukweli ambao hautabadilika kamwe, jambazi wewe
 
Nyie wachaga enzi za wizi wenu zimeisha nawaambia zimeisha kabisa Mkoa wa Arusha ni wa Wamasai waacheni wa Masai nao wampende mtu wao na nyie shabikieni gaidi lenu Mbowe
Walishazoea biashara za magendo na kukwepa kodi..

Ukiwabana kidogo wanalia kama watoto..

Ndio maana kelele nyingi utawasikia wanasema Jambazi lkn ukweli upo wazi hao ni wahuni sana.
 
Wafanye wafanyavyo lakini wakumbuke ya Mzee Mwamwindi na Kleruu! Shauri yao!
 
Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
Mbona hukwensa kutoa ushahidi?!, au kipindi sabaya anashitakiwa ulikuwa bado hujazaliwa?
 
Hakyanani nyumbu kwa kulialia nyie hamjambo. Mmelia kuhusu uteuzi wa Makonda, machozi hayajakauka mnalia tena kuhusu picha ya Ole Sabaya na PM. Yani hata picha tu inawaliza?
 
Back
Top Bottom