Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile

Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Nilikuwa nafikiria kama wewe, maana yake watu waingize pesa kwenye mzunguko, sio wanaficha ndani kwenye viroba
 
Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile

Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Wewe kichaa . Mngese na kichwa empty .

Count number of years . Noti mpya ni mandatory sio Samia doing .

Elimu muhimu sana kwako

Samia is useless . Acha uchawa
 
Hakuna mwizi mwenye hela nyingi anakaa ndani na Tsh, hizo hela zinazopigwa nyingi ziko kwenye USD, EURO na PAUNDI.
Masoko ya hisa duniani huko watu wameshaweka hela kitambo, nyingine ziko swiss banks nk.

Bado hatujui tu kwanini USD iliadimika/imeadimika mitaani?

Zipo biashara nyingi tayari mitaani zinarun lakini undercover kuna wahuni wanasafisha hela zao na kuzitoa nje.

Njia pekee na serious ya kudeal na wezi ni kudili nao live live bila kificho usiku na mchana.
Serikali itangaze crack down kwenye mabank yote ya nje juu ya hela za wanasiasa wa Tanzania, hizo account ziwe seizures mpaka maelezo ya kutosha ya upatikanaji wa hizo hela yatolewe na mhusika kwa GOT.
 
Kwa ufafanuzi wa BOT hakuna sarafu wala noti mpya itakayotengenezwa wala kuchapishwa, bali wanachofanya ni kuruhusu noti za zamani ambazo kwa sasa hazitumiki zirudi katika mzunguko. Kwa hiyo kama una noti za zamani rudisha upewe hizi tunazotumia sasa ili iweze kuzitumia.
 
Wewe kichaa . Mngese na kichwa empty .

Count number of years . Noti mpya ni mandatory sio Samia doing .

Elimu muhimu sana kwako

Samia is useless . Acha uchawa
Watanzania ni wajinga lakini ni wajuaji mbele za watu. Huyu kwanza hata haelewi ni pesa gani zinazotolewa kwenye mzunguko na Benki kuu.
 
Zipo mkuu ndani, watu wanazo, na hii ndio moja ya njia ya kuingiza hela kwenye mzunguko
Narudia tena kukueleza, mtanzania anayeficha hela ya Tanzania ndani kwake huyo ni maskini tu. Watu wenye hela hata hizo Tshs. hawana muda nazo. Wanaziita pesa za madafu.
 
Hakuna mwizi mwenye hela nyingi anakaa ndani na Tsh, hizo hela zinazopigwa nyingi ziko kwenye USD, EURO na PAUNDI.
Masoko ya hisa duniani huko watu wameshaweka hela kitambo, nyingine ziko swiss banks nk.

Bado hatujui tu kwanini USD iliadimika/imeadimika mitaani?

Zipo biashara nyingi tayari mitaani zinarun lakini undercover kuna wahuni wanasafisha hela zao na kuzitoa nje.

Njia pekee na serious ya kudeal na wezi ni kudili nao live live bila kificho usiku na mchana.
Serikali itangaze crack down kwenye mabank yote ya nje juu ya hela za wanasiasa wa Tanzania, hizo account ziwe seizures mpaka maelezo ya kutosha ya upatikanaji wa hizo hela yatolewe na mhusika kwa GOT.
Ifike mahali tukubali kwamba aliyepata amepata, maisha yaendelee watu warudishe fedha ndani ya uchumi uchumi uimarike.

Hii kuwa haunt down hao mnaowaita mafisadi akati hao wanaowasaka nao ni mafisadi ni kupoteza muda
 
Back
Top Bottom