Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Nahisi wewe ndio huelewi mkuuUjio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Kama ulisoma history au bible study huwezi muelewa. Mpaka usome huu mchezo wa dy/dx ndo utaelewaNahisi wewe ndio huelewi mkuu
Nilikuwa nafikiria kama wewe, maana yake watu waingize pesa kwenye mzunguko, sio wanaficha ndani kwenye virobaUjio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Wewe kichaa . Mngese na kichwa empty .Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Kwa ufafanuzi wa BOT hakuna sarafu wala noti mpya itakayotengenezwa wala kuchapishwa, bali wanachofanya ni kuruhusu noti za zamani ambazo kwa sasa hazitumiki zirudi katika mzunguko. Kwa hiyo kama una noti za zamani rudisha upewe hizi tunazotumia sasa ili iweze kuzitumia.Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Umemshona vizuri sana hapo maana alikifikiri sisi wote mazwazwaWewe kichaa . Mngese na kichwa empty .
Count number of years . Noti mpya ni mandatory sio Samia doing .
Elimu muhimu sana kwako
Samia is useless . Acha uchawa
🤣Tusi la senga🙌bible study
Nilikuwa nafikiria kama wewe, maana yake watu waingize pesa kwenye mzunguko, sio wanaficha ndani kwenye viroba
Zipo mkuu ndani, watu wanazo, na hii ndio moja ya njia ya kuingiza hela kwenye mzungukoNi nani mwenye akili anaweza kuficha shilingi ya Tanzania ndani?
Wewe kichaa . Mngese na kichwa empty .
Count number of years . Noti mpya ni mandatory sio Samia doing .
Elimu muhimu sana kwako
Samia is useless . Acha uchawa
Zipo mkuu ndani, watu wanazo, na hii ndio moja ya njia ya kuingiza hela kwenye mzunguko
Ifike mahali tukubali kwamba aliyepata amepata, maisha yaendelee watu warudishe fedha ndani ya uchumi uchumi uimarike.Hakuna mwizi mwenye hela nyingi anakaa ndani na Tsh, hizo hela zinazopigwa nyingi ziko kwenye USD, EURO na PAUNDI.
Masoko ya hisa duniani huko watu wameshaweka hela kitambo, nyingine ziko swiss banks nk.
Bado hatujui tu kwanini USD iliadimika/imeadimika mitaani?
Zipo biashara nyingi tayari mitaani zinarun lakini undercover kuna wahuni wanasafisha hela zao na kuzitoa nje.
Njia pekee na serious ya kudeal na wezi ni kudili nao live live bila kificho usiku na mchana.
Serikali itangaze crack down kwenye mabank yote ya nje juu ya hela za wanasiasa wa Tanzania, hizo account ziwe seizures mpaka maelezo ya kutosha ya upatikanaji wa hizo hela yatolewe na mhusika kwa GOT.
Muda umetolewa mrefu sana !Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Usifikiri humu ndani wote ni machawa kama wewe, humu kuna watu wenye akili zao kwa saaana!Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao