Tuulinde kwa nguvu zote mchezo wa soka ambao umeanza kuvamiwa na wauza madawa ya kulevya

Wewe utakuwa mgeni na mpira wa bongo, hizi mambo ziko miaka dahali. Tena kwa timu zote kubwa. Mnafurahia tu kusajiliwa wachezaji kwa bei ghali, na airport mnaenda kuwapokea usiku wa manane, hadi mnagongewa wake zenu kisa timu. Unadhani wao wana visima vya fedha?! "Ukila, lazima na wewe uliwe!!" J. K. Kikwete
 
Kuna kipindi Arsenal walikua wanapata majeraha sana hivi kumbe shida ndio hii hii ya athari ya madawa ya kulevya eeh
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…