Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkangazi ni mbao nzuri na adimu. Chukua hutajuta.Mkuu wangu Mbao Tanzania tafadhali nipe elimu kuhusu mbao ya Mkangazi, je inafaa kwenye furniture za kitanda? Maana nataka nichukue kitanda cha mkangazi nimeambiwa ni kizuri na mbao yake ni bei ghari
Bei: 2×4 = 5800 na 2×2 = 2900Bei ya mbao ya Sasa 2×2 na 2*4 ikoje
Fundi mmoja alinieleza kwamba mbao za mninga zinahimili sana jua na mvua unapotengenezea milango na madirisha (hiyo ni kabla ya madirisha na milango hii ya kisasa)Uzuri wake ni upi zaidi ya mkongo?
Mbao za mnazi sio imara na hatushauri kuzitumka katika kupaulia.Vip kuhusu ubora wa mbao za mnazi katika kupaulia ukilinganisha na mbao nyingine?
Ukizi treat na dawa ya kuzuia wadudu na mchwa nadhani zitakaaMbao ya mwembe ni nafuu na nzuri kwa kutengenezea samani,lkn zinaliwa sana na wadudu,nifanyeje ili zisiliwe?
Nina wasiwasi lkn ukizitreat halafu ukaziranda si ile dawa itapotea?Ukizi treat na dawa ya kuzuia wadudu na mchwa nadhani zitakaa
Kuna namna nyingi za kufanya treatment mojawapo ni kuziloweka mbao kwenye dawa. Ubao unanyonya dawa mpaka ndani, hata ukiziranda dawa inabaki.Nina wasiwasi lkn ukizitreat halafu ukaziranda si ile dawa itapotea?
Natafuta machine ya kuchana mbaoHeri ya mwezi mpya,
Sisi ni wataalamu wa mbao za aina mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania. Tupo Dar es Salaam. Tunao ujuzi na uzoefu wa miaka mingi.
Kama inavyofahamika, shughuli za ujenzi wa majengo na baadhi ya miundombinu hapa kwetu kwa kiasi kikubwa bado hutegemea mbao kama mojawapo ya nyenzo muhimu.
Je, unawezaje kutambua mbao nzuri, imara na zinazofaa kwa mradi anuai?
Tumekuja JamiiForums kujuzana na kuepusha hasara ambayo wadau wa ujenzi hukumbana nazo, yakiwemo makampuni na watu binafsi kutokana na kutokuwa na uelewa wa kutosha.
Tutajibu maswali yote tutakayoyamudu kwa wakati.
Karibuni sana.
Wasilian nasi 0782 425190Natafuta machine ya kuchana mbao
Nitampa boss namba hiiWasilian nasi 0782 425190
Tujibu hii basi mtaalamUtajuaje ile dawa ya kutreat mbao ni fake ama sio fake..ile ya kijan..maana naskia mchezo huo upo sana bugurun pale
Ulikua unaitaji lite ngp iyo dawa mkuu au wasiliana nasi kwa namba hii: 0782 425190.Tujibu hii basi mtaalam
Kwanza kupatikana ni shughuli, hata hizi furniture wanazotuuzia mpaka million kadhaa kwa kitanda huwa sio Mninga hasa, ni wanatuchota tuWewe lazima utakuwa multi-millionea, kuezeka nyumba kwa kutumia mbao za mninga? Unajua bei ya mninga?
Uko sahihi mdauKwanza kupatikana ni shughuli, hata hizi furniture wanazotuuzia mpaka million kadhaa kwa kitanda huwa sio Mninga hasa, ni wanatuchota tu
Umeruhusuje hadi mchwa wafike kwenye paa?? Ulipaswa ufanye treatment ya msingi wako kuhakikisha hakuna mchwa anapanda kwenye paaMkuu paa langu linaliwa na mchwa vip naweza pata suluhisho mkuu