Tuumize ubongo wetu kutafakari kwa kina: Je, waliomuua Alphonce Mawazo hawakutumwa na mtu?

Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau...
Hakuna Kifo kama chake kisiwe na Mpango nyuma yake ila tatizo letu tunataka Kulilazimisha liwe la Kisiasa wakati huenda likawa ni la Kibinafsi tu.
 
Nasema hivi waliowatuma hao waliofungwa wako pembeni, na kuna uwezekano ni kesi kiini macho ambapo wahusika watatoka tu mbele ya safari. Vinginevyo tuone wakinyongwa.

Wakitoka wataishi wapi wasionekane
 
Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau.

Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika.

Tuachane na bahati mbaya ya marehemu kuingia kwenye siasa za kinafiki za kiafrika na kisha kupoteza uhai wake. Je, kamanda Mawazo aliuwawa bila kuwepo na nia ovu ya kisiasa?

Maana sheria ya makosa ya jinai ya Tanzania imeweka wazi kuwa nia ovu ya kufanya mauaji ndio itakuwa kiini kikubwa cha kumtia mtu kwa kosa la mauaji.

Hakimu aliyewatia hatiani wauaji wa kamanda mawazo anakiri kuwa wauaji wa kamanda mawazo walikuwa wafuasi wa chama flani cha siasa,lakini hii sio sababu ya kuhusisha mauaji yake na siasa. Je hili linaingia hakilini?
Mimi siyo mtalaam sana wa sheria za mauaji, Lakini najaribu kuhisi kuwa Hawa watuhumiwa lazima waliulizwa maswali kadhaa pale mahakamani,mfano:

1.Kwaninimliamuakumpiga(kupelekea kumuua)?
2 .Kwa nini mlimvamia mwanachama wa chama kingine cha siasa?
3.Mlipata faida gani ya kumuua?
4.Hamkujua kuwa sheria itawaadhibu kwa kosa la mauaji?
5.Inaonekana kuna mtu au watu wako nyuma yenu,akina nani hao?
N.k
 
Ungeeleweka zaidi kama ungeweka hapa majibu yao ya maswali yako lakini jibu la swali Namb. 5 ni lazima lilikuwa na agizo toka juu maana sote tumeona ndani ya hii miaka 5 agizo toka juu kilitolewa hakuna salia Mtume lazima litekelezwe. Timing ya tukio na hadhi ya mhanga vinathibitisha hili!
 
Makamanda wa ufipa hawajaridhika nahiyo hukumu.
 
Mimi siyo mtalaam sana wa sheria za mauaji, Lakini najaribu kuhisi kuwa Hawa watuhumiwa lazima waliulizwa maswali kadhaa pale mahakamani,mfano:

1.Kwaninimliamuakumpiga(kupelekea kumuua)?
2 .Kwa nini mlimvamia mwanachama wa chama kingine cha siasa?
3.Mlipata faida gani ya kumuua?
4.Hamkujua kuwa sheria itawaadhibu kwa kosa la mauaji?
5.Inaonekana kuna mtu au watu wako nyuma yenu,akina nani hao?
N.k
Sio kila kinachoulizwa mahakamani huwa kinaandikwa kwenye hukumu.Lakini hakimu ameeleza kuwa mauaji ya kamanda Mawazo hayakuwa na uhusiano wa kisiasa,je ni kweli?
 
Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau.

Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika.

Tuachane na bahati mbaya ya marehemu kuingia kwenye siasa za kinafiki za kiafrika na kisha kupoteza uhai wake. Je, kamanda Mawazo aliuwawa bila kuwepo na nia ovu ya kisiasa?

Maana sheria ya makosa ya jinai ya Tanzania imeweka wazi kuwa nia ovu ya kufanya mauaji ndio itakuwa kiini kikubwa cha kumtia mtu kwa kosa la mauaji.

Hakimu aliyewatia hatiani wauaji wa kamanda mawazo anakiri kuwa wauaji wa kamanda mawazo walikuwa wafuasi wa chama flani cha siasa,lakini hii sio sababu ya kuhusisha mauaji yake na siasa. Je hili linaingia hakilini?
Hata kama mwadhani walitumwa, Kesi hii iwe fundisho, usikubali kutumiwa na wanasiasa wa chama chochote. Usitumike sababu mwisho wa siku utawajibika uliyetumika. Hakimu hawezi kumtia hatiani aliyekutuma bali ulietekeleza uharifu.
 
Sio kila kinachoulizwa mahakamani huwa kinaandikwa kwenye hukumu.Lakini hakimu ameeleza kuwa mauaji ya kamanda Mawazo hayakuwa na uhusiano wa kisiasa,je ni kweli?
Yaani mauaji yasiwe na uhusiano wowote na siasa!NO.Hata sheria hutumia LOGIC (reasoning).Kwanini watu zaidi ya mmoja wa chama kilekile wawe na uamuzi sawa?
 
Mimi siyo mtalaam sana wa sheria za mauaji, Lakini najaribu kuhisi kuwa Hawa watuhumiwa lazima waliulizwa maswali kadhaa pale mahakamani,mfano:

1.Kwaninimliamuakumpiga(kupelekea kumuua)?
2 .Kwa nini mlimvamia mwanachama wa chama kingine cha siasa?
3.Mlipata faida gani ya kumuua?
4.Hamkujua kuwa sheria itawaadhibu kwa kosa la mauaji?
5.Inaonekana kuna mtu au watu wako nyuma yenu,akina nani hao?
N.k
Kuna mahali nilisoma kwamba walikana kuhusika kabisa na tukio hilo,kama wanasema hatuhusiki sidhani kama wngeweza kujibu swali lolote miongoni mwa hayo.
 
Sio kila kinachoulizwa mahakamani huwa kinaandikwa kwenye hukumu.Lakini hakimu ameeleza kuwa mauaji ya kamanda Mawazo hayakuwa na uhusiano wa kisiasa,je ni kweli?
Kwani mahakamani kulikuwa na hoja kuwa mauaji yale yalikuwa ya kisiasa au la, mpaka hakimu arise hiyo kwenye judgement?
 
Back
Top Bottom