Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #41
Mpaka ameeleza lazima ameraise hii ishu. Ndio maaana amesema hakuna connection ya kisiasa japokuwa waliohukumiwa ni wafuasi wa chama cha siasa.Kwani mahakamani kulikuwa na hoja kuwa mauaji yale yalikuwa ya kisiasa au la, mpaka hakimu arise hiyo kwenye judgement?
Kwa hiyo kule MKIRU nako yale mauaji ya halaiki ya wanaCCM napo tuumize ubongo pia au kwa Mawazo tu?
Kwani nia ovu lazima iwe ya kisiasa?Mpaka mtu anauliwa lazima pawe na nia ovu ya kumuua. Je huyu kamanda hakukuwa na nia ovu ya kisiasa kumuua? Au wewe unaonaje?
Sikiliza. Nilitaka kujua iwapo kwenye proceedings suala la "siasa kuhusika kwenye mauaji" lilijitokeza. Lazima ufahamu kwamba, kwenye shauri hili mlalamikaji alikuwa Serikali. Sasa unataka kuniambia kwamba kwenye mashtaka kulikuwa na hoja za siasa kuwa sehemu ya mauaji?Mpaka ameeleza lazima amerise hii ishu. Ndio maaana amesema hakuna connection ya kisiasa japokuwa waliohukumiwa ni wafuasi wa chama cha siasa.
Wachana na hilo gamba ramba viatu vya chakubangaSio kosa lako.
Hilo ni sheitwan la lumumbaMwanaccm mwenzako huyo ameamua kuuvaa utu, wewe jitoe ufahamu tu.
Bukoli na Katoro kuna umbali ganiLeo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau.
Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika.
Tuachane na bahati mbaya ya marehemu kuingia kwenye siasa za kinafiki za kiafrika na kisha kupoteza uhai wake. Je, kamanda Mawazo aliuwawa bila kuwepo na nia ovu ya kisiasa?
Maana sheria ya makosa ya jinai ya Tanzania imeweka wazi kuwa nia ovu ya kufanya mauaji ndio itakuwa kiini kikubwa cha kumtia mtu kwa kosa la mauaji.
Hakimu aliyewatia hatiani wauaji wa kamanda mawazo anakiri kuwa wauaji wa kamanda mawazo walikuwa wafuasi wa chama flani cha siasa,lakini hii sio sababu ya kuhusisha mauaji yake na siasa. Je hili linaingia hakilini?
Wewe unavyoelewa nia ovu ni kitu gani? Nia ovu ya mfuasi wa chama kingine haiwezi kusababisha mauji ya mfuasi wa chama kingine?Kwani nia ovu lazima iwe ya kisiasa?
Sio mbali bro,unadandia hiace au mini bus,kama dk 60 tu.Bukoli na Katoro kuna umbali gani
Kama mlalamikaji ni serikali kwa hiyo mahakama huwa haisikilizi upande wa utetezi? Ndio maana huwa inasikiliza ishu zote kisha inafanya analysis.Sikiliza. Nilitaka kujua iwapo kwenye proceedings suala la "siasa kuhusika kwenye mauaji" lilijitokeza. Lazima ufahamu kwamba, kwenye shauri hili mlalamikaji alikuwa Serikali. Sasa unataka kuniambia kwamba kwenye mashtaka kulikuwa na hoja za siasa kuwa sehemu ya mauaji?
Ni fundisho kwa wanaokubali kutumika kwa maslahi ya wengine,hao wanaenda jela kama nikweli waliowatuma wapo,watawatembelea mwezi wa kwanza tu na kuwapa matumaini ya rufaa.....then hawatawaona tenaLeo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau.
Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika.
Tuachane na bahati mbaya ya marehemu kuingia kwenye siasa za kinafiki za kiafrika na kisha kupoteza uhai wake. Je, kamanda Mawazo aliuwawa bila kuwepo na nia ovu ya kisiasa?
Maana sheria ya makosa ya jinai ya Tanzania imeweka wazi kuwa nia ovu ya kufanya mauaji ndio itakuwa kiini kikubwa cha kumtia mtu kwa kosa la mauaji.
Hakimu aliyewatia hatiani wauaji wa kamanda mawazo anakiri kuwa wauaji wa kamanda mawazo walikuwa wafuasi wa chama flani cha siasa,lakini hii sio sababu ya kuhusisha mauaji yake na siasa. Je hili linaingia hakilini?
Kwann wasiwakamate wafadhili wao,waliowatumaWatatunzwa na dola for the job well done
Hujataja umbaliSio mbali bro,unadandia hiace au mini bus,kama dk 60 tu.
Bukoli to Nyankumbu then Katoro. Tumia distance calculator upate majibu.Hujataja umbali
Hujajibu swaliBukoli to Nyankumbu then Katoro. Tumia distance calculator upate majibu.
Huwezi kutumia distance calculator?Hujajibu swali