Tuumize ubongo wetu kutafakari kwa kina: Je, waliomuua Alphonce Mawazo hawakutumwa na mtu?

Kama mlalamikaji ni serikali kwa hiyo mahakama huwa haisikilizi upande wa utetezi? Ndio maana huwa inasikiliza ishu zote kisha inafanya analysis.
Swali langu ambalo hutaki kulijibu ni hili:kwenye mashtaka kulikuwa na hoja kwamba mauai yale yalikuwa ya kisiasa?
 
Swali langu ambalo hutaki kulijibu ni hili:kwenye mashtaka kulikuwa na hoja kwamba mauai yale yalikuwa ya kisiasa?
We jamaa unajua kitu kinaitwa PH? Mashitaka ni mauaji ila kuna hoja huwa zinakubaliwa zisikilizwe ndani ya shauri. Naishia hapo.
 
Akili zako zina IQ ndogo sana, badala ya kuwaza mambo ya msingi ya kubadirisha Mazingira yako unawaza mambo ya yasio na faida.
 
We jamaa unajua kitu kinaitwa PH? Mashitaka ni mauaji ila kuna hoja huwa zinakubaliwa zisikilizwe ndani ya shauri. Naishia hapo.
Nageuza swali: hoja ya kwamba mauaji yale ni ya kisiasa iliwasilishwa mahakamani na nani?
 
Baada ya miezi michache huwezi kuwaona hao waliohukumiwa kunyongwa kwenye gereza lolote la Tanzania , sitaki kusema watakapokuwa ila hawatanyongwa , sasa ni akili yako kutafakari kama wauaji walitumwa au la
 
Nasema hivi waliowatuma hao waliofungwa wako pembeni, na kuna uwezekano ni kesi kiini macho ambapo wahusika watatoka tu mbele ya safari. Vinginevyo tuone wakinyongwa.
Kwa siku za karibuni ulishawahi kuona hukumu hii ikitekelezwa nchini au unaandika hivyo kwa kuwa aliyeuawa ni mwanacdm?
 
Kwa siku za karibuni ulishawahi kuona hukumu hii ikitekelezwa nchini au unaandika hivyo kwa kuwa aliyeuawa ni mwanacdm?
Kama hiyo hukumu ya kunyongwa haitekelezwi, wanahukumiwa hivyo ili kumfurahisha nani?
 
Kwa hiyo kule MKIRU nako yale mauaji ya halaiki ya wanaCCM napo tuumize ubongo pia au kwa Mawazo tu?
Kuna mtu kakuzuia kuumiza ubongo kuhusu Mkiru? Halafu akili za kushikiwa muwe mnaziacha chooni, ishu ya Mkiru kuifananisha na mauaji ya Mawazo ni kuonesha umbumbumbu uliotukuka.
 
Kama hiyo hukumu ya kunyongwa haitekelezwi, wanahukumiwa hivyo ili kumfurahisha nani?
Wale wanaowatetea CDM ndo hao hao wanaopinga hukumu ya kunyonga - andamaneni kushinikiza mamlaka zianze kunyonga
 
Wale wanaowatetea CDM ndo hao hao wanaopinga hukumu ya kunyonga - andamaneni kushinikiza mamlaka zianze kunyonga

Ni kipi ambacho kinaacha kutekelezwa nchi hii kisa cdm wanapinga? Ama umeishiwa na hoja kaka?
 
Umeshajijibu,usisumbue wanaume.
Basi kuna tatizo mahali fulani Wewe ndiye umeleta hii hoja hapa, sisi wengine tulitarajia wewe utuongoze tukidhani una details za kutosha kuhusu proceedings mpaka ruling ya kesi, sasa tunapokuuliza unajibu kisera! sijui kwanini tunakuwa na taifa lililojaa watu wasioweza mijadala hata kama wanaileta wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…