wangese kweli azam na ki app chao yani wametoa sport 2 ambayo ina mechi wamerudisha zbc2 ambayo walishaitoa. nisha ki unstall ki app chaoNipo kwenye gari safarini kuelekea Mbeya nikaamua kununua zangu GB5 za internet ili niweze kuangalia mechi ya watani zangu Yanga Vs Zesco, ila ghafla bin vuu hawa Azam Wameamua kuiondoa chaneli yao inayoonesha mechi hiyo mubashara Azam Sports 2.
Hakika nimesononeka sana kwani naona sasa Safari inaanza kuwa ndefu na nimeghafirika mno. This isn't fair, they should inform us earlier before kuliko kupoteza malengo ya pesa zetu kwa kununulia all these useless GB's.
NB: Nime-Uninstall App yao, daadeki. Tuungane kuipoteza hii App ya hawa washamba.
Yani mnafanyiwa free bila kujali una kisimbuzi chao au la bado mnabwabwaja ukuda?Katika app ya kishamba hiyo ni moja wapo, tena wanatoa channel itakayoonyesha game dakika kadhaa kabla ya game kuanza. Kama issue ni biashara, kwa nini umeweka app yenye channel zinazoonyesha mechi live.....weka machannel ya udaku na bongo movie usiwasumbue watu wanaopenda mpira then kwenye king'amuzi endelea na hizo za sports ili watu wanunue.
USHAMBA NI MZIGO