Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Ila hii serikali ya sasa ya SAMIA Kama Yale ya mei mosi yatatekelezwa kweli mpaka 2030 watumishi pamoja na Walimu watakuwa mbali sana kimasilahi.
 
Walimu wanadharaulika sana ila nani huyo anarmdharau mwalimu ni wale failed students, wasomi wa kuungaunga (certificate to diploma, degree akifika masters) basi utasikia walimu ooh wanateseka nani kakuambia ?
 
Kwa mtu aliyesoma saikolojia ataungana na Mimi kuwa wewe Kuna tatizo linakisumbua sio bure utaficha lakini Kuna facts behind!!! Haiwezekani kuwatukana walimu bila sababu Kuna kitu!!! Wewe umejinasibu ni mgogo wa chamwino !!! Kwanini umegushwa na walimu na kutoka lugha za kejeli wakati wagogo wenzio Hali zao wazijua???nani asiyewajua!?? Kwann usiwasemee wait!?? Umeenda mbali zaidi juzi nilisoma comment Yako ukasema bora uliwe Kwa mpalange kuliko kuwa mwalimu!! Kweli nilishangaa Sana !!! Ukasema wewe ni next level na una Prado namba "E" nilicheka Sana mpaka mtoto wangu akaniuliza ( sikumjibu)!!
In short unatatizo kubwa Sana either la malezi au Kuna mwalimu ameingilia angaza zako Sasa unawapanishi collectively!!! .Kwa kifupi umekosa ustaarabu na una ulimbukeni wa kiwango Cha kimataifa!! Sidhani kama unaelewa vizuri unacho kiandika !! Hebu tafuta vizuri ngazi za mishahara ya kada nyingine za umma utaona vizuri!!!
Kwa kifupi umekufuru na Mungu Huwa hanyi uji majibu utayapa .
Nikutakie uck mwema
Huyu ni kichaa furani hivi katika Yale makundi ya matahira huwa tunamuita mild impered person usihangaike naye.
Hana lolote isipokuwa anataka sifa, umaarufu na attention ya watu humu jf ili ajulikane kupitia vipost vyake vya kijinga vinavyoiponda kada ya ualimu. Ni mpuuzi furani tu aliyemua utambulisho wake ujulikane kupitia kuwaponda walimu ko alishajipatia umaarufu kwa staili hiyo hivyo hawezi kuacha kuwaponda kwa kuwa hana kingine kitakachompa umaarufu zaidi ya maada zake hizi za kijinga. (Kama huamini fatilia nyuzi zake zote) kiufupi hana hoja ya kuandika kama hatoandika kuhusu walimu na ndio maana ikitokea post yoyote inayohusiana na kada ya ualimu basi zaidi ya watu 5-10 wata mtag kwenye comments ili achangie chochote hasa kinachopond au kudhalilisha walimu.
NONSENSE
 
Back
Top Bottom