Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae thread za walimu tuuuu, yani iwe ni walimu mwanzo mwisho mpaka serikali isikie kilio Chao.

Walimu nao ni watu tunaishi nao mitaani, kama ilivyo Kwa watumishi wengine Tunaomba nao pia wapewe heshima Yao nawathaminiwe pia maana hii serikali imezoea kuwapuuza sana walimu. Walimu msikubali kuchelewa daini haki zenu walahi mimi kama mpwayungu village nipo pamoja na nyinyi Kwa lolote lile [emoji120][emoji120]
Unaitwa mwalimu nani vile
 
Aaaahaaaa
 
Mkiwa mnaandika muwe mnafikiria kwanza katika Watumishi wa Umma Tanzania 1/2 ya Watumishi wote ni walimu wakifuatiwa na Maaskari & Madaktari/wahudumu wengine wa Afya.Watumishi ambao hawapo katika hizo kada ni wachache mno.

Ninacho manisha ni kuwa mapato ya Serikali 3/4 ya mapato yanakwenda kwenye mshahara,ukosema uongeze mishara kwa walimu ni kusababisha matatizo mengine ya kiuchumi.

Hats hivyo,Walimu na Maaskari wana muda mwingi wa ziada wa kufanya shuhguli zingine tofauti na Watumishi wengine.
Watu wajinga kama wewe ndo sababu ya taifa hili kuendelea kua masikini.
Baada ya kuibana serikali iwalipe watumishi wa umma vizuri ili purchasing power iongezeke mtaani then uchumi ukue
 
Kumbe unaropokaropoka tu hata mishahara yao huijui! Ndiyo maana umeambiwa wagogo ni wachafu.
Usiwashambulie wagogo aisee hizi tabia zilishapigwa marufuku tangu enzi za mwl. Nyerere baba wa Taifa hili kwaio jenga hoja acha ukabila.
 
Kweli kabisa ila nahisi mama atafanya kweli may mosi ya mwaka huu
Sahau,, yaani aongeze mwaka jana halafu mwaka huu tena?, Hiyo hela imetoka wapi, maana hata akiongeza buku tano, bado ni hela ndefu mno
 
Back
Top Bottom