Walimu hawana MATATIZO madogo ya utumishi Kama wengine. Ila Kuna pepo baya limewakuta walimu wameharibika tu kisaikolojia.
=====
Baada ya Idara ya:
- Afya
- Engineering
- Sheria (Law school)
Anayefuata kwa Mshahara mkubwa hapo ni Mwalimu. Walimu wa Sayansi Sasa hivi mishahara yao Ina upendeleo Maalum, wanaanzia ngazi ya tatu juu ya walimu wengine.
Wakati watumishi wengine huchukua likizo ya SIKU 28 Mara moja kwa MWAKA, Mwalimu ananufaika na LIKIZO kila wanafunzi wakifunga shule MARA 4 kwa MWAKA.
Mwalimu mwenye MADARAKA Wana POSHO Maalum ya madaraka, wakati hata Ma-Incharge vituo vya Afya na Zahanati WANAJITOLEA tu.
Sasa sijui unapobweka kuhusu Walimu unamaanisha NI?