Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Tatizo ni wajuaji , alaf ni makada , ukisema makosa ya serikali wanakutenga na wanakusinitch , waoga kinyama , huwez kutetea kundi hili unajitakia majanga tuu, wajanja huwa wanajiondokea kwenye hyo Kada , mtu unafundisha physics na chemistry, ni kijiaibisha tuu , fundisha miaka mitano chepukia Afya
 
Kuna watu wa kuwatetea ila sio walimu....hawa viumbe wana roho mbaya sana.....

Serikali iondoe kwanza walimu vilaza then ndio waboreshe we mazingira hawa walimu wenye elimu za kuunga unga sijui daraja la 111 A wana roho mbaya sana.
 
Asante Kwa ushauri wako, nadhani watajirekebisha
 
Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae thread za walimu tuuuu, yani iwe ni walimu mwanzo mwisho mpaka serikali isikie kilio Chao.

Walimu nao ni watu tunaishi nao mitaani, kama ilivyo Kwa watumishi wengine Tunaomba nao pia wapewe heshima Yao nawathaminiwe pia maana hii serikali imezoea kuwapuuza sana walimu. Walimu msikubali kuchelewa daini haki zenu walahi mimi kama mpwayungu village nipo pamoja na nyinyi Kwa lolote lile [emoji120][emoji120]
Leo wamekupa Nini🤷?siyo kawaida yako,au wamekuloga?
 
Nimepitia nyuzi zako kadhaa, nimejiridhisha pasipo shaka kuwa wewe ni mwalimu maana asilimia kubwa ya nyuzi zako zinaongelea walimu.
 
Tatizo ni wajuaji , alaf ni makada , ukisema makosa ya serikali wanakutenga na wanakusinitch , waoga kinyama , huwez kutetea kundi hili unajitakia majanga tuu, wajanja huwa wanajiondokea kwenye hyo Kada , mtu unafundisha physics na chemistry, ni kijiaibisha tuu , fundisha miaka mitano chepukia Afya
Ni kweli kabisa wanatia hasira sana tuwavumilie tu
 
Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae thread za walimu tuuuu, yani iwe ni walimu mwanzo mwisho mpaka serikali isikie kilio Chao.

Walimu nao ni watu tunaishi nao mitaani, kama ilivyo Kwa watumishi wengine Tunaomba nao pia wapewe heshima Yao nawathaminiwe pia maana hii serikali imezoea kuwapuuza sana walimu. Walimu msikubali kuchelewa daini haki zenu walahi mimi kama mpwayungu village nipo pamoja na nyinyi Kwa lolote lile [emoji120][emoji120]
Naunga mkono hoja.
 
Navipi kuhusu overtime
Overtime hata watumishi wengine wa kada nyingine wengi hawalipwi, muhimu ni kujiongeza serikali haina huruma na wewe. Fanya kazi mida wako ukiisha nenda home.

PILI, ukidai Overtime walimu wanaweza kuja kuanza kukaziwa Kwasababu ya LIKIZO za wanafunzi.

Kiutumishi, mfanyakazi ana siku 28 tu za mwaka za likizo kwahiyo hata Kama wanafunzi wakifunga shule Mwalimu anatakiwa kuwa kazini Kama kawaida.
na per diem,
Kwani per diem anatakiwa kulipwa Nani?

Kama Kuna "Activity' na mtu kafanya kituoni au nje ya Kituo Cha kazi anapaswa kulipwa.

Na ndio maana,masuala ya usimamizi wa MITIHANI, kisahihisha wanalipwa.

Unless useme hizo activities ni chache. Ingawa zikiwa chache ndio vizuri maana unapata muda mwingi wa mapumziko.
house na food allowances wanapewa pia walimu?
Ukiachana na wafanyakazi wa mashirika ya umma na Wanasiasa, ni mtumishi gani wa serikali za mitaa au kuu ana Food na house allowance??
 
Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae thread za walimu tuuuu, yani iwe ni walimu mwanzo mwisho mpaka serikali isikie kilio Chao.

Walimu nao ni watu tunaishi nao mitaani, kama ilivyo Kwa watumishi wengine Tunaomba nao pia wapewe heshima Yao nawathaminiwe pia maana hii serikali imezoea kuwapuuza sana walimu. Walimu msikubali kuchelewa daini haki zenu walahi mimi kama mpwayungu village nipo pamoja na nyinyi Kwa lolote lile [emoji120][emoji120]
Katika kada 10 zinazolipwa vizuri na serikali kuu walimu wamo.
Mishahara yao si haba kabisa. Walimu wengi tu wanalipwa kati ya 2M na 3m kwa mwezi. Hiyo hela ni ndogo?
Acheni kudharau walimu
 
Back
Top Bottom