Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Katika kada 10 zinazolipwa vizuri na serikali kuu walimu wamo.
Mishahara yao si haba kabisa. Walimu wengi tu wanalipwa kati ya 2M na 3m kwa mwezi. Hiyo hela ni ndogo?
Acheni kudharau walimu
Mwalimu yupi analipwa pesa hiyo mtaje Kwa jina na TGTS
 
Overtime hata watumishi wengine wa kada nyingine wengi hawalipwi, muhimu ni kujiongeza serikali haina huruma na wewe. Fanya kazi mida wako ukiisha nenda home.

PILI, ukidai Overtime walimu wanaweza kuja kuanza kukaziwa Kwasababu ya LIKIZO za wanafunzi.

Kiutumishi, mfanyakazi ana siku 28 tu za mwaka za likizo kwahiyo hata Kama wanafunzi wakifunga shule Mwalimu anatakiwa kuwa kazini Kama kawaida.

Kwani per diem anatakiwa kulipwa Nani?

Kama Kuna "Activity' na mtu kafanya kituoni au nje ya Kituo Cha kazi anapaswa kulipwa.

Na ndio maana,masuala ya usimamizi wa MITIHANI, kisahihisha wanalipwa.

Unless useme hizo activities ni chache. Ingawa zikiwa chache ndio vizuri maana unapata muda mwingi wa mapumziko.

Ukiachana na wafanyakazi wa mashirika ya umma na Wanasiasa, ni mtumishi gani wa serikali za mitaa au kuu ana Food na house allowance??
Kwahiyo kama Kuna watumishi wengi hawalipwi overtime walimu hawatakiw kudai haki hiyo? Yani matatizo ya wengi unafanya kuwa halali na sio kosa kwa serikali? Mbona polisi na wanajeshi wanapewa food and house allowance why mwalimu not paid?
 
Kwahiyo kama Kuna watumishi wengi hawalipwi overtime walimu hawatakiw kudai haki hiyo?
Sijasema wasilipwe, namaanisha ukifanya ni haki yako kudai..
Lakini mwa Mwalimu overtime inakujaje?

Yaani muda wa kutoka shule ni saa 9:30 wewe umeamua kumfundisha mpaka saa 1 jioni. Is it necessary?

Au hujui maana ya overtime payments?
Yani matatizo ya wengi unafanya kuwa halali na sio kosa kwa serikali? Mbona polisi na wanajeshi wanapewa food and house allowance why mwalimu not paid?
Wanajeshi ni special case?

PILI, asilimia kubwa Wanajeshi siyo watumishi wa umma.

Mbona Wanajeshi hawalipi nauli kwenye daladala kwahiyo na watumishi wengine wadai kutolipa?
 
Mkiwa mnaandika muwe mnafikiria kwanza katika Watumishi wa Umma Tanzania 1/2 ya Watumishi wote ni walimu wakifuatiwa na Maaskari & Madaktari/wahudumu wengine wa Afya.Watumishi ambao hawapo katika hizo kada ni wachache mno.

Ninacho manisha ni kuwa mapato ya Serikali 3/4 ya mapato yanakwenda kwenye mshahara,ukosema uongeze mishara kwa walimu ni kusababisha matatizo mengine ya kiuchumi.

Hats hivyo,Walimu na Maaskari wana muda mwingi wa ziada wa kufanya shuhguli zingine tofauti na Watumishi wengine.
 
Kwahiyo kama Kuna watumishi wengi hawalipwi overtime walimu hawatakiw kudai haki hiyo? Yani matatizo ya wengi unafanya kuwa halali na sio kosa kwa serikali? Mbona polisi na wanajeshi wanapewa food and house allowance why mwalimu not paid?
Kasome maswala ya wages katika uchumi-utajifunz mengi zaidi.
 
Sijasema wasilipwe, namaanisha ukifanya ni haki yako kudai..
Lakini mwa Mwalimu overtime inakujaje?

Yaani muda wa kutoka shule ni saa 9:30 wewe umeamua kumfundisha mpaka saa 1 jioni. Is it necessary?

Au hujui maana ya overtime payments?

Wanajeshi ni special case?

PILI, asilimia kubwa Wanajeshi siyo watumishi wa umma.

Mbona Wanajeshi hawalipi nauli kwenye daladala kwahiyo na watumishi wengine wadai kutolipa?
Wanajeshi nao ni Watumishi wa umma kama walivyo Walimu.
 
Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae thread za walimu tuuuu, yani iwe ni walimu mwanzo mwisho mpaka serikali isikie kilio Chao.

Walimu nao ni watu tunaishi nao mitaani, kama ilivyo Kwa watumishi wengine Tunaomba nao pia wapewe heshima Yao nawathaminiwe pia maana hii serikali imezoea kuwapuuza sana walimu. Walimu msikubali kuchelewa daini haki zenu walahi mimi kama mpwayungu village nipo pamoja na nyinyi Kwa lolote lile [emoji120][emoji120]
Mimi ni mwalimu kipara mwenzangu ni mwalimu nani vileeeee!
 
Hii inaitwa mpe mchawi amlee mwanao haya maajabu umeokoka sasa 🤣🤣🤣🤣
 
Wazo zuri
 
Kwa mtu aliyesoma saikolojia ataungana na Mimi kuwa wewe Kuna tatizo linakisumbua sio bure utaficha lakini Kuna facts behind!!! Haiwezekani kuwatukana walimu bila sababu Kuna kitu!!! Wewe umejinasibu ni mgogo wa chamwino !!! Kwanini umegushwa na walimu na kutoka lugha za kejeli wakati wagogo wenzio Hali zao wazijua???nani asiyewajua!?? Kwann usiwasemee wait!?? Umeenda mbali zaidi juzi nilisoma comment Yako ukasema bora uliwe Kwa mpalange kuliko kuwa mwalimu!! Kweli nilishangaa Sana !!! Ukasema wewe ni next level na una Prado namba "E" nilicheka Sana mpaka mtoto wangu akaniuliza ( sikumjibu)!!
In short unatatizo kubwa Sana either la malezi au Kuna mwalimu ameingilia angaza zako Sasa unawapanishi collectively!!! .Kwa kifupi umekosa ustaarabu na una ulimbukeni wa kiwango Cha kimataifa!! Sidhani kama unaelewa vizuri unacho kiandika !! Hebu tafuta vizuri ngazi za mishahara ya kada nyingine za umma utaona vizuri!!!
Kwa kifupi umekufuru na Mungu Huwa hanyi uji majibu utayapa .
Nikutakie uck mwema
 
Tuwapiganie walimu achana na mimi
 
Back
Top Bottom