Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Hivi kweli Polepole ni mjinga kutaka huruma ya wananchi?
Hio huruma ya wananchi itamsaidia Nini?
Lisu imemsaidia Nini huruma ya wananchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli Polepole ni mjinga kutaka huruma ya wananchi?
Hio huruma ya wananchi itamsaidia Nini?
Lisu imemsaidia Nini huruma ya wananchi?
Ongeza sauti hujasikika na haujaeleweka.Hivi kweli Polepole ni mjinga kutaka huruma ya wananchi?
Hio huruma ya wananchi itamsaidia Nini?
Lisu imemsaidia Nini huruma ya wananchi?
Ni nani ndani ya CCM ambaye hajawahi kuwanyan'ganya haki zenu? naona mnaimba ngonjera msizozijua.
Hata hao kina Nape na Makamba mnaowapa support sasa hivi bila kujielewa waliwahi kushiriki "bao la mkono" ile nayo ilikuwa ni haki iliyoporwa.
Lakini kwa uwezo wenu mdogo wa kutafakari na tabia ya kufuata mikumbo mmeamua kujitumbukiza kwenye kumshambulia Polepole huku madhalimu wengine wametulia tu wanawatazama mnavyakausha makoo yenu kuwatetea bila kujua.
Mnatakiwa kuficha hizi emotions zenu mjue namna ya kucheza hili game, vinginevyo hakuna namna zaidi ya kubakia wapinzani milele

Kwanza ni vema sasa kuwa unakubaliana nasi kuwa pole pole ameshiriki sehemu kubwa kudhuru na kupora haki nyingi kwa namna mbalimbali.
Mlikuwa wapi Magufuli alipowanyamazisha Watanzania? Leo imekula kwenu ndo mnataka "tuungane"? Unganeni wenyewe 😡Haki ya maoni ni haki ya kikatiba.
Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo.
Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu wasiojulikana kumwandama ni la kupigiwa kelele hata kama yeye alidhani halimhusu:
View attachment 2042530
Leo ni TV na watu wasiojulikana kesho ya akina Ben, Lijenje na kina Mhina yatamhusu.
Ikumbukwe juzi ilikuwa kina Lijenje kesho nani aijuaye?
Tuupinge udhwalimu bila kujali mtendwa nani.
Mlikuwa wapi Magufuli alipowanyamazisha Watanzania? Leo imekula kwenu ndo mnataka "tuungane"? Unganeni wenyewe 😡
Polepole ni mtumishi wa tumbo. Asingeondolewa kutoka katika kile cheo cha uenezi asingefanya yote anayoyafanya kwa sasa.Haki ya maoni ni haki ya kikatiba.
Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo.
Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu wasiojulikana kumwandama ni la kupigiwa kelele hata kama yeye alidhani halimhusu:
View attachment 2042530
Leo ni TV na watu wasiojulikana kesho ya akina Ben, Lijenje na kina Mhina yatamhusu.
Ikumbukwe juzi ilikuwa kina Lijenje kesho nani aijuaye?
Tuupinge udhwalimu bila kujali mtendwa nani.
Polepole ni mtumishi wa tumbo. Asingeondolewa kutoka katika kile cheo cha uenezi asingefanya yote anayoyafanya kwa sasa.
Ni opportunist tu kama wengine unaowafahamu.
Huyo ni mnafiki tu anaangalia upepo wa kisiasa umekaaje, anaona mbili haisomi tatu haisomi. Anatafuta kuungwa mkono na 'silent majority' bado hana uzoefu wa kupambana na walio nyuma ya Rais wa sasa hajaiva kisiasa kuliko anavyojidanganya.Mkuu hoja yake ni kuwa mnamnyamazisha asiseme. Hadi mmekwenda kumwibia TV.
"Wengine kina sisi ni kwenye uhalali wa kumnyamazisha mtu tu!"
Ya vyeo na matumbo yenu yatuhusu sisi wapi?
Huyo ni mnafiki tu anaangalia upepo wa kisiasa umekaaje, anaona mbili haisomi tatu haisomi. Anatafuta kuungwa mkono na 'silent majority' bado hana uzoefu wa kupambana na walio nyuma ya Rais wa sasa hajaiva kisiasa kuliko anavyojidanganya.
Kupitia kwa mtu ndio unapoweza kuzijadili ideas kwa mapana yake. Labda wakati wa Reagan alipokuwa rais wa USA ulikuwa bado ni mdogo sana miaka ile ya 1980-88. Kulikuwa na Reaganomics, yaani sera za uongozi wa Reagan.

Ukizungumzia Magufulism unaongelea sera nzima za uongozi wa Magufuli kwa maana ya anasimamia nini katika masuala yapi.
Ukiongelea Samiasm unamuongelea Samia na nini anachokiamini katika uongozi wake. Ni ngumu kumtenga kiongozi mkubwa na kile anachokisimamia.
Hana hoja ni mtu anayelilia apate support ya jamii nzima. Ni unafiki kwa maana ya kwamba asingenyanganywa cheo haya asingeyaongea.Ipo tofauti ya msingi baina ya hoja na mtoa hoja.
Hakuna asiyejua kuwa huyu:
View attachment 2043095
Naye ni mhuni kama wale wengine wakiwamo wa maji na Tanesco au Magufuli mgonjwa na kuwa busy na mafaili.
Mnyonge mnyongeni kwanini kumziba mtu mdomo?
Hilo katiba inakataa. Hilo ni kharam kwetu kama lilivyo kharam kwake. Anayelifanya hilo kwa hakika ni mhuni kama yeye tu!
Ieleweke hoja zenye mashiko hatustahili zinakotoka. Mbona walikuwepo kina Slaa na kina Lowassa wenye hoja?
Hoja haipigwi rungu. Polepole ana hoja.
Ni hayo tu mheshimiwa.
Hana hoja ni mtu anayelilia apate support ya jamii nzima. Ni unafiki kwa maana ya kwamba asingenyanganywa cheo haya asingeyaongea.
Kashindwa kukumbuka ukweli kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Atulie mwisho wake umeshafika.
Hana hoja ananata na beat mtoto wa mjini huyo.Hoja haipigwi rungu. Hoja hujibiwa kwa hoja. Ndiyo ustaarabu katika Tanzania mpya tunayoitaka.
Polepole sema nao!
Huyu jamaa aliyemuandalia hii kanzu mbingu ataisoma tu kwenye vitabu
Hana hoja ananata na beat mtoto wa mjini huyo.
Huyu jamaa aliyemuandalia hii kanzu mbingu ataisoma tu kwenye vitabu
Huyu ni sehemu ya uongozi wa JPM ulio na sifa nyingi mbaya hapa jamiiforum kama kuuwa watu, kuteka watu na kufanya unyama wa kila aina.Ila pana jambo linahitaji kupigwa jicho vizuri zaidi:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Hivi kwanini kuna watu wakiona hoja ya maana huwa mnang'aka kama mnataka kutokwa na roho vile?
Cc: Evarist Chahali
Huyu ni sehemu ya uongozi wa JPM ulio na sifa nyingi mbaya hapa jamiiforum kama kuuwa watu, kuteka watu na kufanya unyama wa kila aina.
Leo hii unaongea kama vile keshakuwa malaika aliyeshuka kutoka mbinguni. Wakati mwingine hoja nzuri ni kama maua yanayopamba juu ya kaburi, huwa yanavutia sana lakini kilicholala futi sita chini yake, Mungu ndio anajua.