Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

Wakipatikana Kina, Ben 9.Azor,Lijenje thread yako itakuwa na uharali mioyoni mwa wengi ndugu.
Tunashukuru Mungu kutuondolea Dubwasha Fran Hivi.

Kunya anye kuku,akinya Bata.....
 
Tumia falsafa ya hali ya juu! Namna ya kumpinga mtu aliyeshikilia mpini wa kisu nawe umeshika makali. Hakika asipoachia mpini wewe wa makali utaumia. Ni muungano wa hali ya juu kumfanya aachie mpini.
 
Tumia falsafa ya hali ya juu! Namna ya kumpinga mtu aliyeshikilia mpini wa kisu nawe umeshika makali. Hakika asipoachia mpini wewe wa makali utaumia. Ni muungano wa hali ya juu kumfanya aachie mpini.

Kwani huu mpini anaushika kwa niaba ya nani?
 
Mpini anaushika kwa niaba ya wanachi! Mkimpa mpini asiyeeleweka ni juu yenu, SI mliamua wenyewe? Mbunge akiwahonga na mkampa idhini ya ubunge ni juu yenu!!
 
Acha Polepole ashughulikiwe, wakati wenzake wanapigwa risasi hakuona sababu ya kuzungumza wala kutoa shule ya uongozi kwa sababu alikuwa kivulini.

Naomba sana wamshughulikie na wamnyamazishe alaf ndo turudi kuomba hilo unaloleta hapa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…